Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni christiansile shule ya mbeya haijatoa A kwenye somo la dini ya kiislamu mbna top 4 wote wametoka kwao au wote ni Christian
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Hata kwa sheria za usalama barabarani wanashauri wakati unataka kuvuka barabara anza kuangalia kulia kisha kushoto.Mnakaririshwa madude ya ajabu ajabu. Mara sijui unaanza kusoma kutokea kulia kwenda kushoto, Sasa kwa nini msifeli.
Hujaelewa kinachizungumziwa mkuu.We ile lugha ya mtume usiichukulie poa bila mijeredi huwezi kuishika,uliza walimu wa madrasa watakwambia bora kichina ni rahisi kuliko kiarabu
Acha upotoshaji usio na maana.Mitihani ya waislam wanasahihisha wakristo unategemea nn
Mfumo ni huo kwa masomo yote bila kujali ni English au Bible knowledge. Pia kumbuka kila mahali ambapo kuna karatasi ya mwanafunzi basi kuna makundi matatuHuu mchakato ni kwa somo hilo tu au masomo yote?
Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
DuhNilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Wahanga walikuwa ni wanafunzi kutoka shule za kiislamu. Enzi za Ndalichako akiwa katibu mkuuMwaka 2012 hiyo. Nakumbuka sana.
Bahati mbaya hilo somo halifundishwi shuleni kwao ila nakuapia lingefundishwa A zingekuwepo nyingi kuliko grades nyingine na wangeweza kuongoza kitaifa hilo somo.ile shule ya mbeya haijatoa A kwenye somo la dini ya kiislamu mbna top 4 wote wametoka kwao au wote ni Christian
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Mimi nawaambia hapa shida ni syllabus. Dini haipendelei elimu hii na mafundi wa kukariri imani hawana elimu kubwa wengi wao hivyo hawafuati syllabus kwenye ufundishaji. Ukifundishwa kichwa kichwa utajua mengi ila hayatokei kwenye mtihani, na yanayotakiwa kutokea hujafundishwa. Hawana standards kabisaKwa tulofanya mtihani wa islamic tunajua huwezi kufaulu kama unasoma madrasa za kawaida na ndo zilizojaa kazi madufu tu
Mimi nawaambia hapa shida ni syllabus. Dini haipendelei elimu hii na mafundi wa kukariri imani hawana elimu kubwa wengi wao hivyo hawafuati syllabus kwenye ufundishaji. Ukifundishwa kichwa kichwa utajua mengi ila hayatokei kwenye mtihani, na yanayotakiwa kutokea hujafundishwa. Hawana standards kabisa
Umemaliza ndugu yangu,kusoma Islamic juu juu huku lengo ni kyfanya mtihani wake utaishia kulaumu tuMimi nawaambia hapa shida ni syllabus. Dini haipendelei elimu hii na mafundi wa kukariri imani hawana elimu kubwa wengi wao hivyo hawafuati syllabus kwenye ufundishaji. Ukifundishwa kichwa kichwa utajua mengi ila hayatokei kwenye mtihani, na yanayotakiwa kutokea hujafundishwa. Hawana standards kabisa
Duh ulivyoelezea km ulaya yaani. Haku bin haku. Kumbe ush√uz!i mtupu. Hayo mambo kwa wazungu Ndugu. Labda sio hawa walimu tunaowajua mitaani. hopeless.Ungekuwa unajua namna mitihani inavyotungwa na kusahihishwa usingeleta hii mada yako hapa.
Nikwambie tu kama mtihani una maswali 10, basi utapitiwa na watu wasiopungua 14.
Walimu 10 wanaofundisha hilo somo watasahihisha kila mtu swali lake kwa Chain. Karàtasi ikitoka hapo inapita kwa Checker anakagua kama maswali yote yamepitiwa na alama alizopewa in sahihi. Karatasi inapita kwa mtu wa kutotal alama. Baada ya hapo inaenda computer kujazwa. Baada ya kutoka computer kuna watu tena wanahakiki kama alama za computer ni sawa na zilizo kwenye karatasi. Mchakato n mrefu mno kuonewa sio rahisi kama unavyodhani
Alama A Kwenye somo la dini itakusaidia nini ndugu zaidi ya kuendeleza jela ya njozi ya eti kwenda mbinguni. Ukifa ndio mwisho mbinguni binadamu tuipambanie hapahapa duniani kwa kujipatia maisha bora.Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?
Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.
Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.
Asante
Yote mawiliNimeshindwa kukuelewa hao wazungu wamekuwa blessed kwa sababu ya kuwekeza kwenye matumizi ya akili au kwa kuwa wema na wenye huruma na kuzungumza na Mungu bila kumfokea?