Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

Hao north Korea wangekuwa na akili wasingetawala na familia moja miaka na miaka, mtawala akiishi kifalme wao kifukara.
 
Ni kitu gani mnacho fanana nacho na North Korea ambavyo mkitandikwa vikwazo vyake mtasimama kama yeye ?
Kwani hio misaada inatusaidia Nini zaidi ya kuliwa juu kwa juu mikopo tulipe sisi.Wewe mikopo imesaidia nini
 
umesahau hao wote wana resources nyingi na wana viongozi imara sana, ila sio kwamba wana akili kuzidi wengine. iran wana mafuta na gesi nyingi sana, wangekuwa wakulima wale wangekuwa kama zimbabwe. mbona huiongelei Yemen? North Korea wana madini mengi na uongozi wao ni bora sana. africa au watu weusi tuna mali ila viongozi wetu na katiba zetu ni mbovu kuliko wanadamu wengine wote katika uso wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…