kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Safari ndefuKama kuua watu na kupiga risasi watu ni Mafanikio Basi alikuwa sahihi
Inafikirisha Sana
MixerKwa hiyo vikwazo vinahusu exportation tu ?
Umeathiri mpaka akiliUmasikini
Hivyo ndio vitu pekee tunavyo ongoza sisi dunianiUmasikini, ujinga
Akili kichwani.MTU mweupe anakuja Africa na begi lake tu mwisho anajenga nyumba ya thamani na kumuachia Mtu mweusi na MTU.. na mashimo matupu
Sababu ya maaganoHivyo ndio vitu pekee tunavyo ongoza sisi duniani
Nyie Tanzania kitu gani ambacho hamna ?umesahau hao wote wana resources nyingi na wana viongozi imara sana, ila sio kwamba wana akili kuzidi wengine. iran wana mafuta na gesi nyingi sana, wangekuwa wakulima wale wangekuwa kama zimbabwe. mbona huiongelei Yemen? North Korea wana madini mengi na uongozi wao ni bora sana. africa au watu weusi tuna mali ila viongozi wetu na katiba zetu ni mbovu kuliko wanadamu wengine wote katika uso wa dunia.
uongozi makini, viongozi makini, wengi wanatoka CCM au wasaliti wa vyama vingine, ndani ya ccm kumejaa mabepari na mawezi kibao ambao hawapo kwa ajili ya kujenga nchi, pia katiba yetu sio nzuri. hata tukiwa na resources kibao, kiutoka ni ngumu sana, hao wanatukwamisha.Nyie Tanzania kitu gani ambacho hamna ?
Ndio vitu pekee tulivyo fanikiwa kuvimaster kuliko aliye Leta. Hii ndio ile kusema mwanafunzi kamzidi mwalimu.Akili kubwa ya mweusi ipo kwenye hizi imani za kizungu. Unakuta mweusi anaujua ukristu kuliko wenyewe na asili yao.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mchuzi nyama ?Mixer
Yapi ?Sababu ya maagano
Kiongozi ndio huyo huyo mtu mweusi anaye zungumziwa hapa wote tupo sawa. Viongozi wa CCM hawatoki Marsuongozi makini, viongozi makini, wengi wanatoka CCM au wasaliti wa vyama vingine, ndani ya ccm kumejaa mabepari na mawezi kibao ambao hawapo kwa ajili ya kujenga nchi, pia katiba yetu sio nzuri. hata tukiwa na resources kibao, kiutoka ni ngumu sana, hao wanatukwamisha.
Yaliyo fanya Uhuru upatikaneYapi ?
Oneni hiliNorth Korea ma Tanzania maisha yanafanana labda ungesema iran
Mdio mnavyo jifariji nankijazana ujinga ila elewa wewe mweusi unamuhitaji zaid mweupe kuliko mweupe anavyo kuhitaji wewe na ukitaka kujua hilo jiangalie juu hadi chini hapo ulipo na mazingira yanayo kuzunguka je? Ninani anamtegemea mwenzieMtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe. Mtu mweupe bila mtu mweusi,dunia angeiona ngumu.Ndio ukaona mtu mweusi, anamsaidia sana mtu mweupe, kwa vile mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.
RubbishMtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe. Mtu mweupe bila mtu mweusi,dunia angeiona ngumu.Ndio ukaona mtu mweusi, anamsaidia sana mtu mweupe, kwa vile mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.