Sasa, mtu mweupe anawaza maendeleo. Mweusi, yupo JF anawaza kula tunda kimasiahara. Hawa watu wataendana?
Na sasahv baada ya kutambua rasilimali na fursa tunawazidi nini?Gap kubwa lililopo kati yetu na wao ni MUDA tu. Wenzentu wao walitutangulia kujanjaruka na kuziona fursa na rasilimali wakati sisi tunawinda ngiri porini.
Utumwa ulikua n biashara ya dunia nzima including hai white ila ya kwetu ilikua bam bam kwa sababu ya physical fitness yetu.Asia pia waligombanishwa lakini haikufikia kuuzana utumwani.
Nini kimewapata sasa ivi wamekimbizwa kwenye mazingira yao ya asiliWamasai ni wakali sana na Mmasai hawezi kumuuza Masai mwenzie hata kama kamteka kwenye vita.
Alafu tukiambiwa na watu kama P.W. Boza tunaona tunatukanwa.Sisi kama sisi
Acha kukalili Iran atengenezi silaha tu.Huu uzi ni wa kujitukana na kijichukia kama Mwafrika. Ni wa kukubali ubaguzi wa RANGI na falsafa za kina Hitler.
Duniani kuna watu wenye njaa kali na mateso ya ufukara kama Korea ya DPRK? Kama Iran ni peponi mbona Wairan wengi wanakimbilia nchi za Ulaya kwa Wakristo ambapo Ukristo haukubaliki huko kwao Iran.
Kutengeneza silaha za maangamizi kila nchi ikiamua inaweza kmf silaha za kibaiolojia kama COVID-lengo si kuteketeza binadamu.
Inakuaje iran inatumia umeme mwingi kuliko umoja wa ulaya?Acha kukalili Iran atengenezi silaha tu.
Mkuu ngoja nikupe sifa chache tu za Iran.
(1)Iran ndo taifa la pili kwa nguvu za kiviwanda katika eneo la mashariki ya kati na Asia magharibi baada ya Uturuki.
(2) Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambapo huwa inayauza mashariki ya kati, Asia Magharibi,na Asia ya kati na baadhi ya nchi za ulaya mashariki.
(3)Madawa na vifaa tiba vyote ambavyo vina tumika ndani ya Iran asilimia 80 ya vifaa hivyo wanatengeneza wao.
(4)Iran ndo muuzaji mkubwa wa pikipiki kwenye mataifa ya Oman,Syiria,Iraq, Afghanistan, na Pakistan.
(5)Iran ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayo tengeneza mitambo ya uchimbaji wa gesi yenye teknolojia ya hali ya juu sana, hata sasa hivi Urusi ana tegemea mitambo ya Iran ili kuchimba gesi yake baada ya vikwazo vya mataifa ya Magharibi maana hapo awali alikuwa anatumia mitambo kutoka ujerumani.
(6) Iran ni mtengenezaji mkubwa wa mazuria ya kuvutia duniani.
(7) Iran inazalisha umeme zaidi ya Megawat 125,000 umeme ambao ni zaidi ya umeme unao tumika bara zima la Africa wakati Tz Megawat1600 tu.
(8) kwenye silaha sina haja ya maelezo mengi sana ana tengeneza vifaru,drone,meli,makombora ,satalaiti,nyambizi,mfumo ya ulinzi nk.
Hapo nimekuwekea machache tu kuhusu Iran sasa niambie utajilinganisha na taifa hili kwa lipi hasa?
Kuhusu raia wa Iran kwenda Ulaya ni kawaida ya binadamu kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine kutafuta furusa ,na ni haki kwa kila binadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa la msingi afuate taratibu.
Hata uko Ulaya na Marekani kuna baadhi ya raia wao wako kwenye nchi zingine tena masikini ukiwemo TZ wakitafuta furusa.
Sijasema kutumika bali nimesema anazalisha alafu umeme mwingine anauuza kwenye nchi za Iraq, Afghanistan,Pakstatan na baadhi ya maeneo ya Uturuki.Inakuaje iran inatumia umeme mwingi kuliko umoja wa ulaya?
Unaijua hewa safi wewe au unaropoka tu ?Unauliza "wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho?"
Orodha ni ndefu, watakupatia Waafrika wengine hapa jf; ila kwa sasa hapa nilipo najivunia hewa safi sina haja ya kuvaa barakoa na maji safi hayana sumu za takataka za nyuklia.
HakikaWatu wanapambana kulinda himaya zao dhidi ya mafedhuli anaona n waangamizi.
Anasahau ulimwengu ulivyoumbwa ni kwa wenye msuli tuu huna utapangiwa hadi ratiba ya kumla mkeo.
Unazungumzia Namibia na Botswana za makaburu ?Namibia na bostwna ina kipato kuizidi Iran na korea kaskazini
Unaijua hewa safi wewe au unaropoka tu ?
Siropoki kama wewe. Hewa safi inapimwa kwa AQI (Air Quality Index). Na Tz yote AQI ni ya hali ya juu sana, ikiwa mojawapo ya kivutio cha wageni toka nchi zenye hewa chafu kuja hapa ku 'refresh'.Unaijua hewa safi wewe au unaropoka tu ?
Si vizuri kunyanyapaa watu wenye ulemavu wa akili kama huyo Mwamerika mweusi uliyemwonyesha kwenye picha. Watu hao wako duniani kote, yawezekana hata katika familia yako. Hizo ni propaganda chafu dhidi ya watu weusi.View attachment 2767456
Mtu mweusi mwenye viji IQ vya kuokoteza akipishana na Waasia wa Marekani.