Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Binafsi katika hili nasimama na Lulu.. aisee Kwa namna ambavyo Mama yake alikuwa anaumwa hakukuwa na umuhimu wa kujenga kuliko kumuuguza, na kingine Kwa msanii kuoendeza na kuishi nyumba nzuri mjini ni moja ya Branding ni Sawa na kufanya investment ambayo baadae inamlipa Kwa namna ambavyo watu Wengine sio rahisi kufahamu..Nasema nyumba ya tope kwa sababu dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope
View attachment 2052860
View attachment 2052861
so Lulu Diva kwangu ni moja wa wanawake wachache ambao ni mashujaa Sana hakumtupa Mama yake na wala hakuogopa kumpost pamoja na Hali aliyokuwa nayo yani.
Next time kabla hujamlaumu MTU jaribu kuvaa viatu vyake kwanza.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app