Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunye imejaa matango'Tusi liko wapi hapo
Mapopo[emoji1787]huyo lulu diva ameimba nyimbo gani
Gari ananunua vipi?
Acha kutetea kwanza unajua kisa cha mama ake kuumwa vile?
Hivi wote mnaomsema mmefikiria kweli?
Yaani akajenge nyumba ya Ukoo ikiwa ana wajomba 9 wamebaki? Mimi ingewabomokea sijengi!!!!
Hao wajomba 9 wameshindwa kujichanga mpaka Luludiva ajenge?? Amuuguze mama yake na hapo hapo ajengee Ukoo??
Nyie mmejenga kwenye Ukoo zenu? sisemei kwa wazazi wenu nasemea kwenye ukoo!!
Achana na huyo dada ni mpuuzi....
She is soo malicious utadhania sio mwanamke.......
Mtu kafiwa na mama yake the ONLY person she had, kama huwezi ku sympathise, then at least keep quiet.....
Mwenzio hakua na ndugu wa konekshens,wala mtu wa kuprovide for her,simply put she didn't have PRIVILLEGES ambazo Nyie wengine mmezaliwa mmezikuta ...kuji compare na yeye ni kumuonea,
Kisa nini?
Ndio watu nawashangaa kumsema lulu wakati ndugz zake ambao ni kwao hapo ndio walitakiwa wajenge na sio lulu bana
Mim nikipata pesa najenga kwangu kwanza sio kwetu baadae kwetu na nikiwa na pesa nyingi
Usiwe unaongea au kuquote mtu hujamwelewa,hatuko kanisani hapaMbunye imejaa matango'
Why umseme hivi binadamu mwenzio
Hakuna binadamu mkamilifu
Kwani kupanga kwenye ghorofa mbezi beach ndio useme analipa kodi milioni 2 kwa mwezi ?Mtu kapanga kwenye gorofa Mbezi beach. Halafu kwao kuko hivi ?Aibu kwa kweli.
HahaaaMtu jobless , kazi yake kubwa kukosoa serikali, hiyo nyumba anajenga saa ngapi ?
Wengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga
Wengine wakasema amjengee nani wakati alikuwa na mama yake tu?
Kwetu tunasema ujenge nyumba ya kulinda makaburi.
Wengine wakamtete eti yeye akifa atazikwa kwa mme wake,je kama hotooelewa? Au akifa kabla ya hiyo ndoa? Ya mungu mengi simsemi vibaya.
Hatumsemi vibaya ila msanii anaeweza vimba mjini na gari kali atawezaje shindwa hata mili 10 tu ajenge nyumba ya kawaida?
Kama angekuwa sisi watu wa kawaida tusokuwa na mishahara sawa hakuna shida.
Wasanii wanamiliki simu za mil 3 anapanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi iweje usahau kuna maisha ya baadae?
Mimi uwa mawachekesha watu ofisini.nawambia mimi kama akitokea mzamini akanininulia macho matatu naiuza nanunua sumsung ya laki 4 wanacheka.
Ni kwakuwa sina hela labda ndo maana nina uchungu na hela.
Kwakweli katia aibu. Na mimi nikifa leo mkaenda nizika home mtacheka kidogo sana kuwa nyumba yetu imepitwa na wakati ila sio tope .na pale nyumbani pembeni msingi nilouweka pale mwezi ulotipa sio wa kitoto mtajua ninakoelekea.
Mi siwezi chezea pesa, hata ikitokea fala moja akanihonga hata laki siku zote elfu 50000 lazima niitume nyumbani, cement kwetu ni 26000, nondo 27000 trip ya mawe 70000, mchanga 60000,boma linataka tofali 20000, nataka msauzi bati 70 leo nianze kutumia macho matatu? Ni upuuzi.
Ningekuwa na nafasi ya kama hawa wasanii ningefanya vitu vya maana sana
Wasanii ni watu wa ovyo kabisa.
Kwa gharama hizo za ujenzi nahisi itakuwa Mwanza.Wengine wamemtete wakisema eti hapa duniani tunapita hakuna haja ya kujenga

Naona keyboard inakutia aibu mkuu[emoji14][emoji14]Ukiwa mfiwa unakua na maumivu mawili ......either ya kutiwa ......na wale wanaokuja kukuchunguza
Huyu mimi huwa hadi nasema kuwa nimezeeka ama😄😳!! Huyu huwa namsikia huwasijajua afanyacho hadi alipofiwa na hata sura yake sikupata ifahamu.Hivi huyu Lulu Diva ni superstar wa kitu gani?
Actress, musician au ni mchekeshaji?
Kwa hakika sijui mnijuze