Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Binafsi katika hili nasimama na Lulu.. aisee Kwa namna ambavyo Mama yake alikuwa anaumwa hakukuwa na umuhimu wa kujenga kuliko kumuuguza, na kingine Kwa msanii kuoendeza na kuishi nyumba nzuri mjini ni moja ya Branding ni Sawa na kufanya investment ambayo baadae inamlipa Kwa namna ambavyo watu Wengine sio rahisi kufahamu..

so Lulu Diva kwangu ni moja wa wanawake wachache ambao ni mashujaa Sana hakumtupa Mama yake na wala hakuogopa kumpost pamoja na Hali aliyokuwa nayo yani.

Next time kabla hujamlaumu MTU jaribu kuvaa viatu vyake kwanza.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Thread closed!!
 
Masogange alijitahidi
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Mtu kapanga kwenye gorofa Mbezi beach. Halafu kwao kuko hivi ?Aibu kwa kweli.
 
Hivi wote mnaomsema mmefikiria kweli?

Yaani akajenge nyumba ya Ukoo ikiwa ana wajomba 9 wamebaki? Mimi ingewabomokea sijengi!!!!

Hao wajomba 9 wameshindwa kujichanga mpaka Luludiva ajenge?? Amuuguze mama yake na hapo hapo ajengee Ukoo??

Nyie mmejenga kwenye Ukoo zenu? sisemei kwa wazazi wenu nasemea kwenye ukoo!!
 
Kuna huyu changu mwingine aliyekua mke wa yule mrundi mchezaji mpk akafa kwa stress anatembeza papuchi tu,show off kibao huku mbunye imejaa matango tu.
 

Unajenga kwenu haujengi Nyumba ya Ukoo wewe peke yako!!!

Unaweza kuwa unawajengea wazazi wako, ila sio kuwajengea wajomba zako tena ambao wapo 9 ila wameshindwa kutumia akili.

Maisha yametofautiana ikiwa wewe unapambana kujenga kwenu, Lulu diva alikua anapambana kumuuguza mama yake!!

Kama ambavyo wewe unajenga kwenu kuna watu wazazi wao walishajenga makwao muda tu na wewe hapa wanakushangaa wazazi wako walishindwa vipi kujenga mpaka uje uwajengee wewe!!! maisha yametofautiana tusichekane tusibezane .....vipato na changamoto zipo tofauti.

binti mdogo asie na baba wala ndugu, kuuguza ugonjwa aina ule kwa miaka karibia 5 leo hii mnamsema kisa kujenga muwe na utu!!!
 
Achana na huyo dada ni mpuuzi....

She is soo malicious utadhania sio mwanamke.......

Mtu kafiwa na mama yake the ONLY person she had, kama huwezi ku sympathise, then at least keep quiet.....

Mwenzio hakua na ndugu wa konekshens,wala mtu wa kuprovide for her,simply put she didn't have PRIVILLEGES ambazo Nyie wengine mmezaliwa mmezikuta ...kuji compare na yeye ni kumuonea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…