Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope


Ndio watu nawashangaa kumsema lulu wakati ndugz zake ambao ni kwao hapo ndio walitakiwa wajenge na sio lulu bana
Mim nikipata pesa najenga kwangu kwanza sio kwetu baadae kwetu na nikiwa na pesa nyingi
 

yaani kanishangaza sana kuna baadhi ya watu wana roho ngumu ssana
 
Ndio watu nawashangaa kumsema lulu wakati ndugz zake ambao ni kwao hapo ndio walitakiwa wajenge na sio lulu bana
Mim nikipata pesa najenga kwangu kwanza sio kwetu baadae kwetu na nikiwa na pesa nyingi

Sifa tu za mitandaoni hawana lolote, Watanzania wengi tunajenga kwa wazazi wetu na sio kwa Wajomba zetu wala kwa babu zetu.
 

Hongr!!
Kwa ule msingi!! Aisee ukimaliza utabakia kutafuna kababu tu.
 
Kwa gharama hizo za ujenzi nahisi itakuwa Mwanza.
 
Ushawai uguza mgonjwa wa muda mrefu ww ..kuuguza sio mchezo uchumi unayumba na kumbuka almvuta mama ake mjini ..marekebisho yatafanyikaga baadae ....by the way nikiwa kama muhudumu wa afya namuelewa lulu wa wtu
 
Hivi huyu Lulu Diva ni superstar wa kitu gani?
Actress, musician au ni mchekeshaji?
Kwa hakika sijui mnijuze
Huyu mimi huwa hadi nasema kuwa nimezeeka ama😄😳!! Huyu huwa namsikia huwasijajua afanyacho hadi alipofiwa na hata sura yake sikupata ifahamu.

Bongo inaenda kasi sana.
 
Baada ya kusoma gazeti la mwananchi /mwanaspoti nimeacha kumlaumu lulu diva rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…