Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Daaaaa! Hii nchi itakuja kuendelea kweli? Huyu naye ni mtunga sheria eti
 
Hao ndio wabunge waliomo humu hawajui hata tahajia nyepesi kuna takataka humu inajiita Tlahtlah inasema ni mbunge na waziri sasa hao ndio type ya huyo mama na sishangai kwanini mkataba wa DP World ulipita kirahisi sababu waliona hata wakisoma hawaelewi chochote.
 
kwamba lazima ajue vifaa vya kitabibu na angali yeye si tabibu.

kujua jambo tena la kitabibu ni Lazima upate mafunzo, uende shule kidogo, ila kulifahamu jambo sio vibaya, lakini sio lazima πŸ’

ni muhimu zaidi akafahamu majukumu na wajibu wake katika bunge, hiyo ni muhimu zaidi. Hata hivyo bunge limejaa wataalamu wa kila aina hata akikosea kutamka lakini akaeleweka anachokusudia kusema atasaidika vizuri sana na ataskizwa tu πŸ’

ifike mahali tuepuke kujipa umuhimu zaidi ya binadamu, kwamba sisi we know each and everything.. ni uongo wa wazi πŸ’
 
Nimshukuru sana Rais @SuluhuSamia kwa uwekezaji mkubwa ambao umefanyika kwenye mashirika mbalimbali yaliyo chini ya Wizara ya Uchukuzi na leo nitajikita kwenye reli, uwekezaji katika reli ni muhimu sana na ni ambao utadumu kwa muda mrefu tukitilia maanani reli tunayoitumia sasa ilijengwa na Wajerumani zaidi ya miaka 120 iliyopita na mpaka leo inafanya kazi, tunawekeza kwa kizazi cha leo, lakini tunawekeza kwa miaka 100 mingine ijayo ambayo ninaamini wengi wetu katika chumba hiki tutakuwa ni sehemu ya makerubi na maserafi tukimwimbia Mungu bila mwisho, nipongeze sana uwekezaji katika SGR," - Profesa Palamagamba Kabudi
 
Sawa
 
Kiwango cha juu cha ufaulu CCM Ili ulingie Bungeni ni ujue Mapenzi basi
Usajili Dirisha Dogo hilo
 
Huyu ndiye anayetakiwa kuishauri serikali πŸ˜”πŸ˜”
 
Wabunge wa CCM ni mapoyoyo sana aisee. Yanasifia ujinga hadi akili zinakuwa kama ma vi.
 
T-Scan zipo bandarini ambazo kazi zake ni ku-scan mizigo inayoingia bandarini.
Kuna CT-Scan ambayo kazi yake ni kum-scan mgonjwa ili kugundua tatizo linalomsumbua.
Kwa sababu huyo mbunge siyo mtaalamu wa vyombo hivyo tusimlaumu sana kwa kuchanganya matumizi ya mashine hizo!
 
Hakuna anayetaka huyo mbunge aijue CT SCAN kama wanavyoijua madaktari ila yeye kajipa kazi ya kusifia kitu tena mbele ya bunge akiwa kama mbunge ilikuwa ni vyema kuwa makini na anayoyasema na kutamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…