Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haliitaji utalaamu bali umakini wa kujua unachokizungumza na kutamka.
 
Hakuna anayetaka huyo mbunge aijue CT SCAN kama wanavyoijua madaktari ila yeye kajipa kazi ya kusifia kitu tena mbele ya bunge akiwa kama mbunge ilikuwa ni vyema kuwa makini na anayoyasema na kutamka.
kwanini asisifie? anazuiwa na nani kuyaona mambo tofauti na unavyoyaona wewe?

au unajiona wew pekee ndio mwenye haki ya kupinga, ila yule wa kusifia hana haki, right?

au haki yake ni kumdhalilisha na kumwita majina yasiyofaa, right?🐒

vitu ambavyo ni bayana kabisa vimefanyika kwa wazi mchana kweupe unajizuiaje kusifia? 🐒

nadhani ni muhimu zaidi, kukosoa dosari au kasoro ya jambo au kitu flani with alternatives, hiyo inamaana zaidi 🐒
 
Hata CHADEMA hawawezi kutamka kuwa katiba mpya iseme mbunge awe na degree kwasababu kina Sugu, Lema na wengine hawataingia bungeni. Hili ni tatizo la vyama vyote sio CCM peke yake.
 
Kwa kawaida 'great thinker' utafuta uwepo wa jambo linalozungumzwa kabla ya kukosoa, kwani mambo ni mengi na sio rahisi kwa binadamu kufahamu kila jambo.
Swali hapa ni: Je, kuna kifaa au mtambo kwa ajili ya kuchunguza afya ya bonadamu kwenye hospitali kinachoitwa T-Scan? Kama ndio, basi kinachunguza afya ipi/ au viungo vipi vya mwili au mwili mzima kwa ndani?
Majibu ya maswali haya yapo kwenye video clip hii hapa chini.


View: https://youtu.be/4x4au-N2hCo?si=g_-l64RDHKs8MbK-
Hivi kwenye utangulizi wake aliongelea T-Scan inachopima? Kama hakuongelea meno, na kumaanisha karibu mwili mzima, basi hapo ndio tatizo linapoanzia!

Hii ndio T-Scan



Na hii ndio CT-Scan

Elli Evelyn Salt
 
Yaani Mungu ameamua kuwaumbua ccm kila mahali,kilichobaki ni kishindo cha anguko kuu la ccm.
 
Asifie tu wala sina shida ila awe makini anapojipanga kuongea ajue anachoongea na kutamka, kama ilikuwa hata hiyo CT SCAN haijui kabisa kulikuwa na haja gani ya kuwa na pupa ya kuzungumzia kitu ambacho hukijui ili mradi uonekane unasifia?
 
Asifie tu wala sina shida ila ila awe makini anapojipanga kuongea ajue anachoongea na kutamka, kama ilikuwa hata hiyo CT SCAN haijui kabisa kulikuwa na pupa gani kuzungumzia kitu ambacho hukijui ili mradi uonekane unasifia?
watu tu wamemfikiria tofauti, sio rahisi aongee asichokijua na ndio maana imekua hoja hoja sasa hivi...

ni sawa tu na yule mh. aliwe wahi kusema naunga mkonyo hoja au yule aliewahi kusema SA wana chimba chima n.k 🐒

hoja mitandaoni ikawa ni mkonyo na kuchimba chima but ilikua bayana mh alikua anamaanisha nini..
 
Asifie tu wala sina shida ila ila awe makini anapojipanga kuongea ajue anachoongea na kutamka, kama ilikuwa hata hiyo CT SCAN haijui kabisa kulikuwa na pupa gani kuzungumzia kitu ambacho hukijui ili mradi uonekane unasifia?
Hapo kakesha usiku mzima kukariri jinsi ya kumsifia Madam President
 
Kiwango cha juu cha ufaulu CCM Ili ulingie Bungeni ni ujue Mapenzi basi
Huo ni usajili wa Dirisha Dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…