Kweli kabisa!!Na Nina hakika ata ukienda sehemu izo walizozitaja kwenye notes board zao za matangazo utalikuta pia. Ichi ndicho tunachokitaka ata nafasiza kujitolea ziwe wazi watu waombe Kwa kufuata taratibu, na hii itasaidia ata Kwa walioko mbali kuziona wanaotaka kujitolea.
Mkuu ni kwamba unakataa format ya Internal Vacant?Nafasi za ajira lazima ziwe wazi kwa watanzania wote weye sifa!! Siyo kinyongo bali ni kupigania haki!! Hao waliopewa hiyo mikataba kwanza haikuwa kwenye ushindani wa wazi!! Watu wamepachika ndugu zao hapo, hii haikubaliki!!
Jamani hii issue mimi nimeisoma sana yoote na kuielewa mbona wamesema wazi tu kuwa ni wale ambao wanamkataba maalum tu ndio wanaomba kwa maneno mengine ni kazi za ndani sasa hapa kuna ambacho hatuelewi?Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Maana yake si walikuwepo na taasisi inawatambua vizuri na taarifa zao zipo, Kwa Nini waombe kama wanatuma Maombi upya wakati ulitakiwa kufanyika mchakato wa ndani tu?Jamani hii issue mimi nimeisoma sana yoote na kuielewa mbona wamesema wazi tu kuwa ni wale ambao wanamkataba maalum tu ndio wanaomba kwa maneno mengine ni kazi za ndani sasa hapa kuna ambacho hatuelewi?
Hapo MaHR wanatafuta mkona mrefu....Maana yake si walikuwepo na taasisi inawatambua vizuri na taarifa zao zipo, Kwa Nini waombe kama wanatuma Maombi upya wakati ulitakiwa kufanyika mchakato wa ndani tu?
Kama ni kwa watu wa ndani pekee lakini taarifa zimetoka nje ,maana yake Kuna uwezekano taarifa tena za siri kusambaa bila utaratibu?
Anatafutwa nani kutoka nje ikiwa taasisi zina mfumo wa mawasiliano ya kitaasisi, Kwa Nini usingetumika mfumo huo?
Ni kweli kujitolea kunahitaji kufanyiwa hisani kwenye ajira ikiwa kujitolea ni mapenzi ya mtu na hakuna uhusiano wa moja kwa Moja kati ajira na kujitolea?
Kilichofanywa na NSSF kikija kufanywa kwingine na taasisi nyingine, utaendelea kuona ni sawa ?
Nijibu hayo tafadhali
Mkuu Kuna rafu nyingi sana hapo nssf, mtiti unaanzia kwanza namna hao watu walivyopatikana anzia volunteer na hao intern bila connection unatoka Kapa, wamefanikiwa Kwa ilo Sasa wameamua wawapitishe directly.Jamani hii issue mimi nimeisoma sana yoote na kuielewa mbona wamesema wazi tu kuwa ni wale ambao wanamkataba maalum tu ndio wanaomba kwa maneno mengine ni kazi za ndani sasa hapa kuna ambacho hatuelewi?
Lilikuwa ombi....[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]Hizo taasisi 28 za kiserikali zilizopatiwa mamlaka 100% kwenye uendeshaji na kujisimamia ,je NSSF haipo?
Mkuu Kuna rafu nyingi sana hapo nssf, mtiti unaanzia kwanza namna hao watu walivyopatikana anzia volunteer na hao intern bila connection unatoka Kapa, wamefanikiwa Kwa ilo Sasa wameamua wawapitishe directly.
Tena jamani inaonekana huyu aliyeleta hapa alikuwa na muhemko tu, shida ya kutoelewa taarifa tuu, hii kitu imejieleza watanzania wenzangu tuwe tunasoma hivi vituHaiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Nimeona hii kitu mdau pamoja na kuweka vifungu vyako vya Sheria hapaMtendaji mkuu wa NSSF amevunja katiba ya nchi ibara ya 13, inayokataza ubaguzi wa aina yoyote. Kutangaza ajira kwa kuwabagua baadhi ya waombaji watanzania wenye sifa, huko ni kukiuka katiba ya nchi, AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE!!
Katiba nya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya:
13(4). Ni marufuku kwa mtu yeyote kubaguliwa na mtu au na mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka yake chini ya sheria yoyote au katika utekelezaji wa kazi au shughuli yoyote ya mamlaka ya nchi.
NSSF imekiuka klifungu hiki cha katiba ya nchi yetu kwa kuwabagua watanzania wengine wote wenye sifa za kuomba ajira zilizotangazwa pale NSSF, na kuwapendelea watanzania waliomo ndani ya NSSF aidha kwa kujitolea au kwa mikataba mifupi (ambao bila shaka waliingia humo kwa kupendelewa pia-uchunguzi inabidi ufanyike) ili wao pekee ndio waziombe nafasi hizo za ajira!
Inabidi Mtendaji mkuu wa NSSF ajiuzulu kwa kuvunja katiba ya nchi yetu! Hili jambo siyo dogo, na wakilipuuzia tutaenda mahakamani!! Maana haki, wajibu na maslahi ya kila mtu hulindwa na mahakama kwa mujibu wa ibara ya 13(3) ya katiba ya nchi nyetu inayosema: Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na mahakama na vyombo vinginevyo vya mamlaka ya nchi vilivyowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria.
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza makelele ya baadhi ya vigogo kuishambulia PSRS kwa kutumia kisingizio cha mapungufu yake ili kupenyeza agenda ya taasisi kuajiri wenyewe!
Tayari baadhi ya mawaziri na wabunge walishaanza kuandaa mazingira kwa kutaka waliojitolea kupewa kipaumbele!! Lakini mbaya zaidi si tu hizi taasisi zinaridhika kwa kuajiri zenyewe, lakini zimeenda mbali zaidi na kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote kwenye ajira. Tayari walishaweka watu wao bila ushindani na kuwapa mikataba na sasa wanataka kuwathibitisha.
Hii haikubaliki. Ndio maana tunamwomba Rais Samia alikemee hili kwa nguvu zote, vinginevyo Watanzania wataamini kuwa UBAGUZI HUU UNA BARAKA ZA RAIS!
Ninaamini NSSF huenda wanazo nyingi zaidi, na hizi nafasi 392 za mwanzo ni za kupimia kina cha maji tu. Wakifanikiwa hapo huenda hata matangazo ya kazi kwenye tovuti yao wakaacha kuyatoa, wakawa wanatangaziana tu kwenye magroup yao ya Whatsaap. Sehemu ya tangazo lao hilo hapo chini:
INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENTNational Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth anddevelopment within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are inspecific task contract term within the Fund should apply.
Naomba watanzania tulipinge jambo hili kwa nguvu zetu zote, vinginevyo hii nchi itakuwa na matabaka ya WATWANA na WATAWALA. Kama huna mtu huko juu hutakuwa na nafasi ya kupenya hata kama uwezo na sifa unazo.
Wakigoma kubadili msimamo niwaombe mawakili kuomba COURT INJUCTION kusimamisha mchakato huu wa ajira za ubaguzi, huku mkifungua kesi mahakamani kuwatetea watanzania walio wengi ambao hawana "Connection" na wanategemea kupata ajira kupitia ushindani wa wazi na wa haki kwa watanzania wote!
Samahani kidogo, wajumbe kuna kitu kinanitatiza hapa kidogo, inamaana hii taarifa sote tunaandika sana hapa hivi hatuoni kilicho andikwa , tuwe tunasoma vizuri kabisa ili tusipotoshe ummaNafasi za ajira lazima ziwe wazi kwa watanzania wote weye sifa!! Siyo kinyongo bali ni kupigania haki!! Hao waliopewa hiyo mikataba kwanza haikuwa kwenye ushindani wa wazi!! Watu wamepachika ndugu zao hapo, hii haikubaliki!!
Ok mkuu, na izo volunteer na intern nazo Huwa wanatangaza internal? Why permanent jobs ziwe hadharani?Mkuu ni kwamba unakataa format ya Internal Vacant?
hii inafanyika Dunia nzima