Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

mbona hiki kiburi hamkua nacho kipindi cha JPM...
Alikosolewa.

Na watu walichinjwa kwa kukosoa. Waliokotwa baharini. Walipotezwa. Walitekwa.

Uongo ????

Nchi ya watu milioni 60 huwezi kuwamaliza wakosoaji.

Rais anasema wakosoaji wakusanywe wapewe ajira idara ya mipango. Anadhani wako wakosoaji 23 nchi nzima na utawamaliza kwa kuwapa ajira. Haelewi kwamba watu wenye upeo mpana wanazaliwa kila siku, haelewi masikini ya Mungu. Si kosa lake lakini, huyu Mama hakuwahi kusema mahala kwamba ana uwezo wa kukalia kiti, ni JPM ndio kampachika hapo.
 
Kweli kabisa hii haikubaliki.
 
mnatumia madhaifu yake kuonyesha ubaguzi wa wazi kabisa.....
 
Ni mahakama gani Tanzania zenye autonomous wa kiasi hicho?haya yaliwezekana kipindi cha Magu alipozivurumisha taasisi nyeti zilizokuwa zinaajiri familia za vigogo wenye vinasaba ya mikoa fulani lkn kwa sasa jambo hilo limerudi tena kwa kasi.Sidhani kama raisi ana nguvu ya kulimwa hilo.Ngoja tuone.
 
Wewe unajua maana ya viwango au unaropoka tu hapa ?
Idiot ,
Nenda kwenye threads za wendawazimu wenzako huko ,tutolee kichefuchefu hapa
Kuwa jobless kusikufanye uwe mshenzi, muda wako ukifika utaajiriwa

Kwanza sio kila mtu aajiriwe nenda ujajiajiri kwenye kilimo huko
 
Mbona hakuna shida kuajiri from internal source either way external or internal ni watanzania hao hao wanaopewa au kuna wakenya hapo mkuu...kanuni zimefuatwa ninaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…