lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Tulikuwa tunasifiana ila hatukuwa tunasifiana kijinga hivi, watu walisifiwa kwa hoja.Una miaka mingapi? Au siasa ulianza kufatilia baada ya Lowasa kutaka urais? Awamu kusifiana kulikuwepo vizur tu
Labda uniambie, haya mambo ya kubeba picha za rais kwenye michezo ya mpira uliiona awamu ya nne?