Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana silipwi na mtu yoyote Yule Mimi labda Kama wewe ndio unalipwa kuja kupinga kila kitu kinachofanywa na mh Rais wetu mpendwaUnalipwa wewe
Kinachoangaliwa ni ukweli juu ya kile nachoaandika na siyo wangapi wanapinga, maana ukweli hauangalii wingi wa watu wanaopinga au kuunga mkono.90% are commenting negative in every posts, Bado ongeza nguvu
Hakuna mahali ambapo Rais wetu mpendwa hatafika naamini atawafikia Kama alivyotufikia wakulima wa mahindi na kutupatia Tabasamu katika mioyo yetuAje huku kusini akomboe zao la korosho. Wakulima wamekataa kuuza korosho zao kwa Bei ya kutupa
Hoja yenye ukweli haiwezi kumgeuza mleta hoja kuwa mjinga, kinachohitaji kwako Ni kubadilika kifikira na kimtizamo na mawazo potofu uliyo nayo kichwani ili uanze kuona kwa akili yako halisia na Timamu mambo makubwa aliyoyafanya mh Rais wetuHivi huku Tanzania Hawa watu wajinga hivi wanatokea wapi?
Tunaomuunga mkono mh Rais wetu Ni mamilioni ya watanzania Ndio maana unaona kila mh Rais wetu mpendwa mama Samia ankofanya ziara anapokelewa na mafuriko ya watanzania wanaojitokeza kumlaki na kumpokea.Apuuzwe huyu, aendelee kusifu yy na familia yake
asali na keki yetu watanzania wote ni matunda ya kazi njema na ya kutukuka inayofanywa na mh Rais wetu katika kuhakikisha kuwa tunainuka kiuchumi na kuishinkwa matumaini yaliyo haiMlamba asali mambo
Rais Samia haihitaji chawa wa kumpamba maana kazi zake zinajitangaza kila mahali ndio maana wenye kuona Tumeamua kumuunga mkono na kumpongeza kwa kazi nzuri anayofanyaMa chawa Kila kona
Kazi kubwa aliyoifanya mh Rais ndio iliyofanya sisi wananchi tumtangaze wenyewe,Umemaliza chief.... ukifanya kazi kubwa haina haja ya kujitangaza sana, wanaosema ukweli wa maisha halisi ya mtanzania ndio wanaompenda mh rais Samia lkn kwa hulka zetu anaekusifu kila kitu ni kukaa nae makini ilihal nchi yako unaijua ni masikini
Kama una biashara Wala usijari wewe peleka Biashara yako uone Kama haitatangazwa, fuata mashariti na wasiliana na wahusika wakuptie utaratibu ili utangaze biashara yako ,watu wanabeba picha ya Rais kutokana na upendo walio nao kwa mh Rais wetuYaaan kujaza mapicha sehem ambazo zinatakiwa tutangaze biashara ama huduma furan ili jamiii izijue tumejaza mapicha hii ni kuonyesha ni jinsi gani taifa ni jeupe ...na hii habari ya kusifia picha za mtu ni uchizi sifia utendaji wa mtu ...utendaji wako ndo utakuuza sio mapicha.
Huko hatuji, tunaenda geita, chato na kanda ya ziwa tu kumsalimia mama yake Magufuli 😊Aje huku kusini akomboe zao la korosho. Wakulima wamekataa kuuza korosho zao kwa Bei ya kutupa
Sijawahi kuona katika taifa lolote lile hili swala..Lini umemuona hata waziri wa michezo kwenye game za uingereza? Ila wabongo tunaeka matangazo ya bure kabisa ya uchaguzi 2025 na mapicha ya raisi uwanjani..Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja...
Hoja yenye ukweli haiwezi kumgeuza mleta hoja kuwa mjinga, kinachohitaji kwako Ni kubadilika kifikira na kimtizamo na mawazo potofu uliyo nayo kichwani ili uanze kuona kwa akili yako halisia na Timamu mambo makubwa aliyoyafanya mh Rais wetu
Ukija kwangu nakukata panga..Nasubili kuja kumpigia kura uchaguzi ujao na kumpigia kampeni mitaani nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa kwa miguu yangu
Upo nchi gani bwashee,Samia kaleta umoja wa kitaifa?Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja...
Hakuna mtanzania wa hivi....wewe unalipwa, kubali tuHapana silipwi na mtu yoyote Yule Mimi labda Kama wewe ndio unalipwa kuja kupinga kila kitu kinachofanywa na mh Rais wetu mpendwa