Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

90% are commenting negative in every posts you've posted, Bado ongeza nguvu
 
90% are commenting negative in every posts, Bado ongeza nguvu
Kinachoangaliwa ni ukweli juu ya kile nachoaandika na siyo wangapi wanapinga, maana ukweli hauangalii wingi wa watu wanaopinga au kuunga mkono.

Kama unataka kunielewa katika Hilo basi kasome habari za Galileo ndipo utaelewa kuwa ukweli hata ukipingwa nawatu wengi unabaki kuwa ukweli tu
 
Aje huku kusini akomboe zao la korosho. Wakulima wamekataa kuuza korosho zao kwa Bei ya kutupa
Hakuna mahali ambapo Rais wetu mpendwa hatafika naamini atawafikia Kama alivyotufikia wakulima wa mahindi na kutupatia Tabasamu katika mioyo yetu
 
Hivi huku Tanzania Hawa watu wajinga hivi wanatokea wapi?
Hoja yenye ukweli haiwezi kumgeuza mleta hoja kuwa mjinga, kinachohitaji kwako Ni kubadilika kifikira na kimtizamo na mawazo potofu uliyo nayo kichwani ili uanze kuona kwa akili yako halisia na Timamu mambo makubwa aliyoyafanya mh Rais wetu
 
Apuuzwe huyu, aendelee kusifu yy na familia yake
Tunaomuunga mkono mh Rais wetu Ni mamilioni ya watanzania Ndio maana unaona kila mh Rais wetu mpendwa mama Samia ankofanya ziara anapokelewa na mafuriko ya watanzania wanaojitokeza kumlaki na kumpokea.

Hivyo lazima ukubali ukweli kuwa Rais Samia anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na namna anavyofanya kazi kwa bidii na kujituma na kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Watanzania wanyonge anaotamani kila kukicha aone mtanzania mnyonge mmoja au kundi linainuaka kiuchumi
 
Yaaan kujaza mapicha sehem ambazo zinatakiwa tutangaze biashara ama huduma furan ili jamiii izijue tumejaza mapicha hii ni kuonyesha ni jinsi gani taifa ni jeupe ...na hii habari ya kusifia picha za mtu ni uchizi sifia utendaji wa mtu ...utendaji wako ndo utakuuza sio mapicha.
 
Umemaliza chief.... ukifanya kazi kubwa haina haja ya kujitangaza sana, wanaosema ukweli wa maisha halisi ya mtanzania ndio wanaompenda mh rais Samia lkn kwa hulka zetu anaekusifu kila kitu ni kukaa nae makini ilihal nchi yako unaijua ni masikini
Kazi kubwa aliyoifanya mh Rais ndio iliyofanya sisi wananchi tumtangaze wenyewe,
 
Yaaan kujaza mapicha sehem ambazo zinatakiwa tutangaze biashara ama huduma furan ili jamiii izijue tumejaza mapicha hii ni kuonyesha ni jinsi gani taifa ni jeupe ...na hii habari ya kusifia picha za mtu ni uchizi sifia utendaji wa mtu ...utendaji wako ndo utakuuza sio mapicha.
Kama una biashara Wala usijari wewe peleka Biashara yako uone Kama haitatangazwa, fuata mashariti na wasiliana na wahusika wakuptie utaratibu ili utangaze biashara yako ,watu wanabeba picha ya Rais kutokana na upendo walio nao kwa mh Rais wetu
 
Cheap politics hizi. Eti mpirani mtu unaenda kubebeshwa picha. Huu umasikini ni mbaya sana. Watanzania wa hivi ndio wanaoturudisha nyuma
 
Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja...
Sijawahi kuona katika taifa lolote lile hili swala..Lini umemuona hata waziri wa michezo kwenye game za uingereza? Ila wabongo tunaeka matangazo ya bure kabisa ya uchaguzi 2025 na mapicha ya raisi uwanjani..
 
Hoja yenye ukweli haiwezi kumgeuza mleta hoja kuwa mjinga, kinachohitaji kwako Ni kubadilika kifikira na kimtizamo na mawazo potofu uliyo nayo kichwani ili uanze kuona kwa akili yako halisia na Timamu mambo makubwa aliyoyafanya mh Rais wetu

Sawa
 
We mnyiha...

Usishangilie kwa sababu hizo ni dalili za siasa za mashariki nchi zenye ukomunisti...
 
Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja...
Upo nchi gani bwashee,Samia kaleta umoja wa kitaifa?

Tangu kuumbwa kwa Dunia,huyu ndio Raisi "incompetent"asiye na weredi kabisa.

Nchi inaenda kama kuku aliyekatwa kichwa,Tanzania ilikuwa nchi kiongozi katika ukombozi wa Afrika,na diplomasia,sasa hv hata kwenye Swala la Eritrea,na Ethiopia,msimamo wetu haujurikani kabisa.

Samia ana low self esteem,anatumbua mawaziri wenye upeo mkubwa kuliko yeye,anataka azungukwe na wasema ndio mkuu tu.

Raisi gani anakimbia mijadara kwenye platform kubwa za Dunia,anaacha kwenda kuongea UNGA(united nations general Assembly),anaenda kuzindua kata msumbiji!!!uchafu mtupu
 
Hapana silipwi na mtu yoyote Yule Mimi labda Kama wewe ndio unalipwa kuja kupinga kila kitu kinachofanywa na mh Rais wetu mpendwa
Hakuna mtanzania wa hivi....wewe unalipwa, kubali tu
Au wewe kwenu kilo ya mchele shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom