Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kuharibiana siku, wengi wa wanaomsifia Samia na kubeba picha ni kujipendekeza tu lakini mioyo yao ukiipasua iko tofauti, siku nyingine usituletee upuuzi wako huo yaani umsifie mtu aliyeleta hali ngumu ya maisha kwa Watanzania.Duuh!!
Unashindwa kusifu,kuabudu, kumuimbia na kumchezea Mungu wako,badala yake unamgeuza binadamu mwenzako "mungu"!!!???
Kweli umasikini wa akili na kipato ni vitu vya kutorithisha watoto wet
Mimi Ni mkulima mwenyewe kwa hiyo nasi wakulima tulikuwa tumechoka kupata hasara kila mwaka, Tunamshukuru Rais Samia kwa kuhakikisha kuwa wakulima tunapata soko la uhakika na kwa Bei nzuri na hivyo kutusaidia kuinuka kiuchumi.Hakuna mtanzania wa hivi....wewe unalipwa, kubali tu
Au wewe kwenu kilo ya mchele shilingi ngapi?
Siyo kila mtu analipwa Kama unavyolipwa weweHizi ndo mambo alizotuachia Magufuri kujipendekeza pendekeza,Maboss wa hz timu wanajipendekeza ili mambo yao yaende,hao mashabiki unaowaona wamebeba hizo picha wanalipwa na maboss wa timu
Umesikia bei ya korosho lakini? Au unajiangalia wewe tu, je bei kuwa juu mwaka huu sio inasababishwa na mavuno hafifu?Mimi Ni mkulima mwenyewe kwa hiyo nasi wakulima tulikuwa tumechoka kupata hasara kila mwaka, Tunamshukuru Rais Samia kwa kuhakikisha kuwa wakulima tunapata soko la uhakika na kwa Bei nzuri na hivyo kutusaidia kuinuka kiuchumi. Kilimo Ni biashara, unakaribishwa kulima maana Tanzania tuna ardhi yenye rutuba na yakustawisha mazao mbalimbali maeneo mengi
ChawaNdugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania
Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa uwanjani Tena katika mchezo mkubwa siyo tu Tanzania Bali katika Bara Zima la Afrika, picha ya Rais Samia inaleta furaha na Tabasamu kwa mashabiki uwanjani, picha ya Rais Samia inakuwa sehemu ya burudani na furaha ya mchezo, mashabiki wote wa timu zote wanafurahi kuona picha ya Rais Samia ikiwa inapepea uwanjani
Hii ni kutokana na kuwa kila mtu na kila shabiki wa mpira anamuona Rais Samia kuwa Ni Rais wake na kiongozi wake, Hakuna mwenye chuki na Rais Samia, Hakuna mwenye kinyongo na mama Samia, hakuna mwenye Hasira na mama Samia. Kila Shabiki akiona picha ya Rais Samia mbele ya uwanja anaona furaha na Tumaini, kila mtu anahisi Rais Samia Ni mshabiki wa timu yake na anajisikia fahari,
Hakika Rais Samia Ni kipenzi Cha watanzania, Ni Tumaini la watanzania, furaha ya watanzania ,kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania, kiongozi anayekubalika na watu wote vijana kwa wazee. Ukifanikiwa kupenya katika mioyo ya wanamichezo maana yake umefanikiwa kukaa katika mioyo ya watanzania maana mchezo wa mpira ndio mchezo unaopendwa na watu wengi Sana Tanzania na unao waunganisha watu bila kujari itikadi zao za kisiasa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Anaishi kwa matumaini ya kuteuliwaHivi ni 7000 tu au kuna bonus unapewa?
Hakuna nilipozungumzia habari za uteuziAnaishi kwa matumaini ya kuteuliwa
Inatokana na mazingira mazuri aliyoyaweka mh Rais kumuwezesha mkulima kuuza popote penye Bei nzuri, ndio sababu ya kauli mbiu yake ya kilimo Ni biasharaUmesikia bei ya korosho lakini? Au unajiangalia wewe tu, je bei kuwa juu mwaka huu sio inasababishwa na mavuno hafifu?
Hata nafsi yako inakusuta kwa hiki ulichoandika, pole sanaNdugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania
Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa uwanjani Tena katika mchezo mkubwa siyo tu Tanzania Bali katika Bara Zima la Afrika, picha ya Rais Samia inaleta furaha na Tabasamu kwa mashabiki uwanjani, picha ya Rais Samia inakuwa sehemu ya burudani na furaha ya mchezo, mashabiki wote wa timu zote wanafurahi kuona picha ya Rais Samia ikiwa inapepea uwanjani
Hii ni kutokana na kuwa kila mtu na kila shabiki wa mpira anamuona Rais Samia kuwa Ni Rais wake na kiongozi wake, Hakuna mwenye chuki na Rais Samia, Hakuna mwenye kinyongo na mama Samia, hakuna mwenye Hasira na mama Samia. Kila Shabiki akiona picha ya Rais Samia mbele ya uwanja anaona furaha na Tumaini, kila mtu anahisi Rais Samia Ni mshabiki wa timu yake na anajisikia fahari,
Hakika Rais Samia Ni kipenzi Cha watanzania, Ni Tumaini la watanzania, furaha ya watanzania ,kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania, kiongozi anayekubalika na watu wote vijana kwa wazee. Ukifanikiwa kupenya katika mioyo ya wanamichezo maana yake umefanikiwa kukaa katika mioyo ya watanzania maana mchezo wa mpira ndio mchezo unaopendwa na watu wengi Sana Tanzania na unao waunganisha watu bila kujari itikadi zao za kisiasa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Week ya tatu maji yanatoka ya tope mjini kabisa Magomeni na kuna watu bado wako ofisini.Ukisikia viongozi wetu wanavyosifiwa huwezi kuamini kama kuna watu hata huduma ya maji safi na salama kwao ni ndoto.
Bado sijajua huu utaratibu wa kuwasifu na kuwasujudia kwa kuwaimba imba na kubabe picha za viongozi wetu ulianza lini, lakini nakumbuka awamu ya nne hii hali haikuwepo.
Nadhani hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira ndio chanzo cha vijana wengi kuwa na tabia hizi za kichawa.
Wewe ipo siku utajikuta umechanganyikiwa,Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania
Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa uwanjani Tena katika mchezo mkubwa siyo tu Tanzania Bali katika Bara Zima la Afrika, picha ya Rais Samia inaleta furaha na Tabasamu kwa mashabiki uwanjani, picha ya Rais Samia inakuwa sehemu ya burudani na furaha ya mchezo, mashabiki wote wa timu zote wanafurahi kuona picha ya Rais Samia ikiwa inapepea uwanjani
Hii ni kutokana na kuwa kila mtu na kila shabiki wa mpira anamuona Rais Samia kuwa Ni Rais wake na kiongozi wake, Hakuna mwenye chuki na Rais Samia, Hakuna mwenye kinyongo na mama Samia, hakuna mwenye Hasira na mama Samia. Kila Shabiki akiona picha ya Rais Samia mbele ya uwanja anaona furaha na Tumaini, kila mtu anahisi Rais Samia Ni mshabiki wa timu yake na anajisikia fahari,
Hakika Rais Samia Ni kipenzi Cha watanzania, Ni Tumaini la watanzania, furaha ya watanzania ,kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania, kiongozi anayekubalika na watu wote vijana kwa wazee. Ukifanikiwa kupenya katika mioyo ya wanamichezo maana yake umefanikiwa kukaa katika mioyo ya watanzania maana mchezo wa mpira ndio mchezo unaopendwa na watu wengi Sana Tanzania na unao waunganisha watu bila kujari itikadi zao za kisiasa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Sawa tunamkubali na Kumpenda rais, Ila tabia hii sio nzuri hata kidogo na ni hatari sana na tunapoelekea itakuwa na matokeo hasi.Kwani hufurahi namna Taifa lilivyoungana na kuwa kitu kimoja chini ya uongozi wa mh mama Samia au unataka na kutamani kuona Taifa likiwa vipande vipande na lililogawanyika
Mkulima wa lumumba huyo hakika ukiona mtu anaanza na mara ooh mimi mkulima ujue humo hamna kitu kwasababu hakuna sababu ya kuanza kujisifu mapema hivyo,laiti ungekuwa mkulima ungejiuliza hizi bei za pembejeo ni rafiki kwa mkulima?Mimi Ni mkulima mwenyewe kwa hiyo nasi wakulima tulikuwa tumechoka kupata hasara kila mwaka, Tunamshukuru Rais Samia kwa kuhakikisha kuwa wakulima tunapata soko la uhakika na kwa Bei nzuri na hivyo kutusaidia kuinuka kiuchumi. Kilimo Ni biashara, unakaribishwa kulima maana Tanzania tuna ardhi yenye rutuba na yakustawisha mazao mbalimbali maeneo mengi
Picha kwangu nimeona kama ishara ya sisi wamoja. Watanzania.Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania
Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa uwanjani Tena katika mchezo mkubwa siyo tu Tanzania Bali katika Bara Zima la Afrika, picha ya Rais Samia inaleta furaha na Tabasamu kwa mashabiki uwanjani, picha ya Rais Samia inakuwa sehemu ya burudani na furaha ya mchezo, mashabiki wote wa timu zote wanafurahi kuona picha ya Rais Samia ikiwa inapepea uwanjani
Hii ni kutokana na kuwa kila mtu na kila shabiki wa mpira anamuona Rais Samia kuwa Ni Rais wake na kiongozi wake, Hakuna mwenye chuki na Rais Samia, Hakuna mwenye kinyongo na mama Samia, hakuna mwenye Hasira na mama Samia. Kila Shabiki akiona picha ya Rais Samia mbele ya uwanja anaona furaha na Tumaini, kila mtu anahisi Rais Samia Ni mshabiki wa timu yake na anajisikia fahari,
Hakika Rais Samia Ni kipenzi Cha watanzania, Ni Tumaini la watanzania, furaha ya watanzania ,kiongozi aliyeteka mioyo ya watanzania, kiongozi anayekubalika na watu wote vijana kwa wazee. Ukifanikiwa kupenya katika mioyo ya wanamichezo maana yake umefanikiwa kukaa katika mioyo ya watanzania maana mchezo wa mpira ndio mchezo unaopendwa na watu wengi Sana Tanzania na unao waunganisha watu bila kujari itikadi zao za kisiasa
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Uchawa wako ndiyo unaashiria matumaini ya kuteuliwa.Hakuna nilipozungumzia habari za uteuzi
Tulikuwa tunasifiana ila hatukuwa tunasifiana kijinga hivi, watu walisifiwa kwa hoja.
Labda uniambie, haya mambo ya kubeba picha za rais kwenye michezo ya mpira uliiona awamu ya nne?