Tulikuwa tunasifiana ila hatukuwa tunasifiana kijinga hivi, watu walisifiwa kwa hoja.Una miaka mingapi? Au siasa ulianza kufatilia baada ya Lowasa kutaka urais? Awamu kusifiana kulikuwepo vizur tu
Upendo haulazimishwi ndio maana huko hawabebi, lakini kwetu Tanzania unaona yakitokea hayo kutokana na upendo mkubwa Sana walio nao watanzania kwa Rais wetu, hii Ni kutokana na namna mh Rais anavyogusa maisha ya kila mmoja wetu kuwa Borani tabia za kike ndio zinawasumbua mashabiki wetu! duniani kote mpira unapigwa lakini huwezi kuona picha za marais wao! pale mchezo wa soka ambao rais wake ni karia ,motsepe,na infantinho,kwa nn wasibebe mabango ya hao? shame!
Kwani hii Ni awamu ya nne? Kila Zama na kitabu chakeTulikuwa tunasifiana ila hatukuwa tunasifiana kijinga hivi, watu walisifiwa kwa hoja.
Labda uniambie, haya mambo ya kubeba picha za rais kwenye michezo ya mpira uliiona awamu ya nne?
Tumbo ukiliendekeza linaweza kukudhalilisha sanaDuuh!!
Unashindwa kusifu,kuabudu, kumuimbia na kumchezea Mungu wako,badala yake unamgeuza binadamu mwenzako "mungu"!!!???
Kweli umasikini wa akili na kipato ni vitu vya kutorithisha watoto wetu.
Kwani hufurahi namna Taifa lilivyoungana na kuwa kitu kimoja chini ya uongozi wa mh mama Samia au unataka na kutamani kuona Taifa likiwa vipande vipande na lililogawanyikaTumbo ukiliendekeza linaweza kukudhalilisha sana
Pambana mkuu,huenda wakakuona...mikeka bado ipo mingi tu.Kwani hufurahi namna Taifa lilivyoungana na kuwa kitu kimoja chini ya uongozi wa mh mama Samia au unataka na kutamani kuona Taifa likiwa vipande vipande na lililogawanyika
Teuzi zinasababisha watu wawe wapumbavu zaidi.Kuna watu wapo radhi hata watoe tako ili wafikiriwe kwenye teuziDuuh!!
Unashindwa kusifu,kuabudu, kumuimbia na kumchezea Mungu wako,badala yake unamgeuza binadamu mwenzako "mungu"!!!???
Kweli umasikini wa akili na kipato ni vitu vya kutorithisha watoto wetu.
Kwani wapi nimeongelea masuala ya mikekaPambana mkuu,huenda wakakuona...mikeka bado ipo mingi tu.
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa katika dhamira yake njema ya kuijenga nchi yetuKijitonyama Choir hiyo Baba.
Hakuna nilipoandika habari za uteuzi,Teuzi zinasababisha watu wawe wapumbavu zaidi.Kuna watu wapo radhi hata watoe tako ili wafikiriwe kwenye teuzi
Silipwi na mtu kuandika hapa Bali naandika kwa utashi wangu kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia katika kututumikia watanzaniaHivi ni 7000 tu au kuna bonus unapewa?
Acha uongoSilipwi na mtu kuandika hapa Bali naandika kwa utashi wangu kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia katika kututumikia watanzania
Ukweli lazima usemwe tu kuwa mama Samia anakubalika na kupendwa Sana na watanzania, mama Samia kafanikiwa kuwaunganisha watanzania na kujenga umoja wa kitaifa, kafanikiwa kukaa katika mioyo ya watanzania kutokana na usikivu wake wa kumsikiliza kila mtu na kumjalia kila mtu na kuthamini mchango wa kila mtu katika ujenzi wa Taifa letuKwanza wewe sio tu Mwashamba bali ni "Mshamba"
Ila kwa sababu Tanzania "kusifu na kuabudu" imegeuka kuwa CV muhimu kuliko
"Taaluma na Uwajibikaji"
Sikushangai maana najua unachokitafuta ni nini.!
Kwanza kwa wewe kutaja "ID" yako humu "JF" ina maana unataka unaowasifia wakuone na kukujua mashairi yako!
Ila nikujulushe kuwa,hiyo GSM inayoidhamini Yanga kwa sasa.
Ni mali ya mshika "REMOTE" wa Msoga.
Na kwa sababu anajua TV anayoiongoza inahitaji program ya "SIFA" ndio maana hizo picha zinachomekewa huko viwanjani.
Na hatimae kuwanasa wapumbavu kama wewe "Mshamba"(Mwashambwa) a.ka mchambwa!
Alamsiki
Maamuzi ya mahakamani yanapingwa mahakamani na kubadilishwa mahakamani kwa utaratibu wa kisheria ,Kama unaona kaonewa nenda kamkatie rufaaSasa kama anakubalika si hao unaowaambia wanamkubali..., unamwambia nani sasa ambaye hajui kama anamkubali au watakuwa wamesahau kama wanamkubali au kumkataa hence unawakumbusha ?!!!
Huu muda ungetumika kufanya vitu constructive kweli watu wangemkubali bila hata kukumbushana..., Unadhani kitaa wanapenda jina / sura au Umeme wa Uhakika na Bei za Bidhaa affordable as well as walamba asali hata kuonyesha lepe la kujari na sio kutoa kauli za ajabu wakati watu tozo zinawauwa...
By the way kamuulize yule aliyehukumiwa kifungo ni namna gani anamkubali....
Ndio silipwi kuandika hapa, Kama wewe unalipwa kupinga kila kitu hapa Basi usifikiri sote tunalipwa Kama weweAcha uongo