MAXCOM alikuwa na 2 Zimbabweani (nawajua in and out) Developer wa App za MAXCOM ni Wahindi na wajua tena sana nna nna mpaka few email communications with this Developer kama unataka I can PM you their Discussions juu ya wao na MAXCOM
Sorry Boss, si engage na watu PM.Naomba nikuone pm..pamefungwa
Sasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.Kama ana laki 1 aseme nimtengenezee hiyo app mbele ya macho yenu hapa hapa
Na hanipi mimi hata mia
Nitamweleza namna ya kununua hosting na domain
Mfumo namfungia bure mbele ya macho yenu hapa hapa
Wasiwasi wangu ni kuwa hawezi kupata hela na app hiyo
Hiyo app ni sawa na ya kupatana
Inafanana pia na Amazon
Ni classified ads theme na naweza kupata ya bure au hata ya kulipia kuna sehemu naweza kuzichukua bure
Kinacholeta hela siyo softwareSasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.
Mbona hushangai kuona WordPress ni free na bado watu wapo bize hapa jf badala ya kuwa bize huko kwenye blog au website zaoSasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.
Unazungumzia 'Marketing' nimesoma sana hiki kitu.Kinacholeta hela siyo software
Naweza kukuundia Facebook ndani ya dakika 30 tu lakini usitegemee nitakuwa bilionea kama Mark Zuckerberg
Software zipo kibao mamilioni na mamilioni na nyingi zinapatikana bure
Kinacholeta hela ni uwezo wako wewe mmiliki kufanya hiyo software kuwa maarufu na itumike na watu wengi
GoodUnazungumzia 'Marketing' nimesoma sana hiki kitu.
App za namna hiyo kupata hela siyo kazi rahisi hasa kwa TanzaniaSasa kwanini zinakuwa Cheap na available kama hivyo alafu hawazi-Excute wengine namaanisha sikungekuwa na Kupatana nyingi sana au App zenye mfanano huo.
Wakati anasaka hiyo laki moja kuna link hapa FYI: Jiji Tanzania: Buy & Sell Online - Apps on Google PlayKama ana laki 1 aseme nimtengenezee hiyo app mbele ya macho yenu hapa hapa
Na hanipi mimi hata mia
Nitamweleza namna ya kununua hosting na domain
Mfumo namfungia bure mbele ya macho yenu hapa hapa
Wasiwasi wangu ni kuwa hawezi kupata hela na app hiyo
Hiyo app ni sawa na ya kupatana
Inafanana pia na Amazon
Ni classified ads theme na naweza kupata ya bure au hata ya kulipia kuna sehemu naweza kuzichukua bure
Facebook ndani ya dk 30? Huyo ni aidha malaika au kichaa!Naweza kukuundia Facebook ndani ya dakika 30 tu lakini usitegemee nitakuwa bilionea kama Mark Zuckerberg
Very right!Kinacholeta hela ni uwezo wako wewe mmiliki kufanya hiyo software kuwa maarufu na itumike na watu wengi
Kwani ujui vyuoni watu wanasomea uchawa wa ccm tu wanasubiri kulambishwa asali tuBasi tuna safari ndefu Sana km taifa Kwa kweli
Facebook is a social network websiteFacebook ndani ya dk 30? Huyo ni aidha malaika au kichaa!
Very right!
Kuwa na akili timamu!Kitu gani cha ajabu unafikiri kitasababisha ushindwe kuunda social network website ndani ya dakika 10 au hata 5?
Kuwa na akili timamu!
62 Millions lines of codes ndani ya dakika 5?Facebook is a social network website
Kitu gani cha ajabu unafikiri kitasababisha ushindwe kuunda social network website ndani ya dakika 10 au hata 5?
62 Millions lines of codes ndani ya dakika 5?
Halafu Facebook sio tena "Social Networking Website"...
Mumsamehe bure, hajui alitendaloHizo dakika zenyewe hata hazitoshi ku setup environment uanze ku code
Aisee.. Bongo sihamiFacebook is a social network website
Kitu gani cha ajabu unafikiri kitasababisha ushindwe kuunda social network website ndani ya dakika 10 au hata 5?