Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

Laki 5 hadi mil 3 kwa mwezi mmoja....
Kwel me sina plan za kutafta pesa
 
Amka asubuhi nenda machinjioni nunua nyama za mafungu njoo mtaani kwako tengeneza supu safi uza kuanzia hiyo asubuhi hadi jioni kwa bei rahisi.

Baada ya miezi 3 au 4 njoo unishukuru
Achukue huu ushauri lakini tatzo lake anataka milion tatu ndani ya mwezi,
 
Wastani wa kupata laki kwa siku kwa mtaji mdogo ulionao si rahisi
 
Intelegent quiz hakuna kisichowezekana duniani,ipo njia ispokuwa utakuta ni mchongo wa mtu fulani mchoyo,wapo watu au mtu ambaye namfahamu hutoka asb na laki 3 tu na kuingia nayo kariakoo,jioni hurudi na laki 5,anapiga mishe gani hasemi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…