Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

We jamaa ni jembe sana.. tutafutane!
 
Amka asubuhi nenda machinjioni nunua nyama za mafungu njoo mtaani kwako tengeneza supu safi uza kuanzia hiyo asubuhi hadi jioni kwa bei rahisi.

Baada ya miezi 3 au 4 njoo unishukuru.
Superrrrrr edia na kama hupendi hiyo nenda kwa wakulima nunua kwa jumla leta mzigo sokoni alfajiri uza kwa jumla hukosi 50 kwa siku so miezi miwili ushapata 3M utakuja kunishukuru .
 
Intelegent quiz hakuna kisichowezekana duniani,ipo njia ispokuwa utakuta ni mchongo wa mtu fulani mchoyo,wapo watu au mtu ambaye namfahamu hutoka asb na laki 3 tu na kuingia nayo kariakoo,jioni hurudi na laki 5,anapiga mishe gani hasemi hata kidogo.
Hawa jamaa wanajiitaga makoti. Utakutana nao nje ya mji wakiwa na mizigo kwenye mifuko mikubwa ya sulphate maarufu kama "shangazi kaja". Mara nyingi huvaa rain buti kutokana na routes wanazokuwa nazo kwenye vichochoro vyenye vumbi.

Kariakoo wanachukua bidhaa kwa bei flan halafu wanaenda kuchuuza nje kabisa ya mji.

Ni watu wanaoona mbali sana. Kwao sh laki tatu huwaingizia laki tano. Hapo faida n laki 2 kwa siku.
 
Nenda morecash ila hupati hiyo milion 3 kwa mwezi labda nusu yake.
 
Shida naogopa maji sana
 
Bidhaa gani na wanauzaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…