Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
uwezo ni note 40 tu kwa wakati! acheni ushambaCRDB nafikiri unaweza toa mpaka laki sita kwa mkupuo mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwezo ni note 40 tu kwa wakati! acheni ushambaCRDB nafikiri unaweza toa mpaka laki sita kwa mkupuo mmoja.
Tanzanite ndio ya kawaida limitation kibao mfano kiwango cha kutoa hela, limitation za online purchases na “normal” customer servicekwani hii ina effect gan mkuu
sio kwa wakat mu1 bali kwa mkupuoKwa wakati mmoja?
Kile kishimo cha kupitisha hela, mwisho wake ni bando lenye unene gani?Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne.
Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja.
Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
Nakuelewa, kumbuka hakuna mtu anakaa kuhakikisha Pesa zipo kiasi Gani kwenye ATM na matumizi yanatofautiana kulingana na nyakati. Mfano, mwisho wa mwezi na mwanzo wa mwezi matumizi ya ATM Yana tofautiana. Hapo hatujaongelea weekends napo watu wanaotumia sana Kwa vile bank zinafungwa mapema au Kuna siku hazifunguliwi. Hauwezi kuepuka Mara Moja Moja kukuta ATM Haina pesa au inawekewa pesa wakati wewe unasubiria huduma.
Mkuu nina muda mrefu sana sijwahi kutoa fedha kwenye ATM ,mimi natumia sana miamala ya simu ,account yangu sijui hata kama inafanya kazi maana muda mrefu sana sijaitumia.Kama wao wahuni hifadhi pesa zako chini ya godoro kwako
Noti 40 jinsi walivyoset.Kile kishimo cha kupitisha hela, mwisho wake ni bando lenye unene gani?
kwahiyo hapo juu unamaanisha ATM haziwekwi noti za elfu 10.! nadhani haupo sahihi kwanza ni ATM ya benki hani hiyo unayosemea wanaweka noti tupu za elfu 5000 kila sikuSizungumzii hao wa 15,000 au 25,000 hata ukitaka kutoa laki 400 kwa pamoja hauwezi kwasababu wameweka elfu 5 tupu hivyo itakulazimu utoe laki 2 tu.
Huwa wanafanya uhuni wa kuweka elfu 5 ili wapate fedha nyingi kwenye ATM charges.kwahiyo hapo juu unamaanisha ATM haziwekwi noti za elfu 10.! nadhani haupo sahihi kwanza ni ATM ya benki hani hiyo unayosemea wanaweka noti tupu za elfu 5000 kila siku
Noti 40 TU kwa ATM za zaman zileKile kishimo cha kupitisha hela, mwisho wake ni bando lenye unene gani?
Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne.
Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja.
Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
laki 4 kwa watu 50 kwa kutwa ni mil 20.
Atm inapaswa kuwa na Sh ngapi kwa watalaam?