Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Na kila note za bills ndogo zikipotea means bishaa pia zitaongezeka bei kiholela.Mkuu mimi hata huo uchumi siuelewi sana ila sasa hivi hela imekuwa ngumu sana... kuitumia 100,000 imekuwa rahisi kama kuitumia 10,000 lakini kuipata imekuwa ngumu kama kupata 1,000,000 waongeze tu hizo noti
Na pia ni hatari kutoa pesa nyingi kwa mkupuo kuna siku mtu akipata kadi yako na pin number ndio ishakula kwako