Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Na kila note za bills ndogo zikipotea means bishaa pia zitaongezeka bei kiholela.Mkuu mimi hata huo uchumi siuelewi sana ila sasa hivi hela imekuwa ngumu sana... kuitumia 100,000 imekuwa rahisi kama kuitumia 10,000 lakini kuipata imekuwa ngumu kama kupata 1,000,000 waongeze tu hizo noti
Tatizo linakuja pale kadi yako inapokutwa na majanga, unaweza ukaibiwa kadi, mwizi akapukutisha mzigo wote kwenye akauntiBank nyingi bado zinamawazo ya kikoloni.Kuna bank ata kutoa milion 20 wanakukagua mara mbili mbili wakati nawao wala hawana uhadilifu wowote.Ni akili za kijima tu zinatusumbua.Laki 4 ni ndogo sana kama tuko serious na kasi ya kukuza uchumi na kulinda muda.
Zipo baadhi sio zote. Hata NBC pia zipoAcha hixo bangi ndugu haifiki 600k nadhani ni chini ya hapo maaana nina Card ya CRDB sijawahi draw hata 500k
Azania bank atm zao kiwango cha chini ni 5000 cha juu laki 6 wamewezaje? Na ukitoa chini ya 300,000 atm inakuchanganyia noti za 5000 na 10,000
ATM nyingi za zamani zinatoa noti 40 kwa mkupuo ,hizi mpya zinatoa noti 60 kwa mkupuo lakini kuna atm zinatoa noti nyingi zaidi ,japo sijaona binafsi .....ATM haitakiwi kuzidi kiwango fulani for security reason as per bank policy , lakini makasha(cassettes) ya kuwekea noti sio mengi na madogo kwenye ATM .laki 4 kwa watu 50 kwa kutwa ni mil 20.
Atm inapaswa kuwa na Sh ngapi kwa watalaam?