Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna manisha ni siasa mizuka.Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Bila Mwamba tuvushe kustaafu kijani wapo Sana akistaafu sawaKama Chama hakijafa 2015 basi Ujue hakitakufa tena [emoji209]
Nchimbi yeye anapenda sana mambo ya sirini ili na yeye apewe hongo na watendaji wazembe serekalini, we need a transparent government ! Makonda yuko sahihi!!Lini Nchimbi alimpigia simu waziri au mtendaji hadharani kutaka ufafanuzi jukwaani?
Makonda ni kichaa, Samia anajua mwenyewe kwanini alimuweka kichaa. Uislamu usasema Mwanamke hapashwi kuwa kichwa cha familia...matokeo yake ndiyo haya......Kumekucha

Ngoja awadharilishe hao wakurugenzi maana ndio waliiba kura. Very stupid
Elewa jambo ccm hata watofautiane vip linapokuja swala la uchaguzi niwamoja so achana naoSalaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Katiba mpya!Salaam, Shalom!!

Jamaa yuko Moto Sana Muwe Neezi kama PM.hahaNgoja awadharilishe hao wakurugenzi maana ndio waliiba kura. Very stupid
Mbowe na Lisu kutofautiana msimamo kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi wa 2025?Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Hahahahaha Gamboshi VS Kwa Madiba. Ila Mkubwa ana dalili za kufeli kwa sababu sisi kama Chama tunaangalia mwenye manufaa zaidi na uendelevu wake. Makonda yupo likely kudumu kwenye siasa zetu ki chama na bado mdogo, Dkt Nchimbi ni mzee na ni mbinafsi hana maono kwa wananchi. Tunataka mtu anayemuongezea uungwaji mkono Dkt Samia ktk ushindi siyo anayegawa watu kwa matabaka kama Dkt Nchimbi. Sisi Chawa wa Dkt Samia hatumpendi kabisa Dkt Nchimbi baada ya kauli yake ile ya siku ile ya kuapishwa ya kuanza kumdhihaki Dkt Magufuli.Halafu wote watu wa ndumba na ngayi
Japo wote wawili siwakubali kwa sababu CCM imeshapoteza mwelekeo, lakini kufanya maigizo kama ya Makonda kunaleta cheap popularity inayo-attract kura za wajinga, lakini nchi inazidi kudidimia. Kwangu mimi kiongozi mzuri ni yule anayeangalia mambo in a big picture na yuko tayari kukosa umaarufu kwa sababu tu ya kusimamia njia sahihi.Ikiwa wananchi ndo wapiga kura,
Msimamo na uelekeo wa nani ufuatwe kati ya KM na Mwenezi?
Hapo fahari ni mmoja tu, mwingine zero brainMafahari Hawa wawili watapikika chungu kimoja?
Oneni jinga hili, Yani Rais na Amiri Jeshi mkuu mwenye vyombo vyote na mamlaka yote amtume Makonda ashindwe kuongea mwenyewe?
Ndio maana namuunga mkono Makonda katika hili maana CCM mmejaa mazezeta.
Maelekezo na makaripio ya Mwenezi majukwaani kuhusu tatizo la Umeme nchini Kwa Mfano,
Yamepunguza vipi na Kwa kiasi Gani mgao wa umeme nchini?