tuna mtihan sana.kama waweka L badala ya R
Kumbe tunaudhika wengi! Ingawa wao wanadai kuwa 'ukiona mtu anahangaika na vitu vidogo jua uzee umemkalia kooni'. Wanadhani haya makosa ni madogo wakati ni makubwa. Fikiria mtu anasema = njoo apa; unaweza kufikiria anataka ufanye kama kama jana Mwambukusi alivyokuwa ana apa. Kumbe anasema njoo hapa. L na R siku hizi siyo tatizo la kanda ya ziwa bali ati ni modernisation! Majambo ni fululu tu
 
Kuna wakati TUJITAHIDI kupunguza umuhimu kwenye maisha ya watu. Ina faida kubwa sana hii. Usipohusishwa na jambo binafsi basi usijihusishe. Huu ndio uungwana
Mambo ya mtu binafsi tuyaache kwake mtu mwenyewe. Tuchape kazi tuendelee na mengine
Ikitokea kwa mfano kwenye familia yenu babako akaondoka bila taarifa na family haijui je, ni jukumu la nani kufuatilia kujua alipo?
 
mwenye takwimu za muda ambao DAB hajaonekana atupe. Ila kuna watu wanasema yuko likizo kimyakimya akisoma upepo, im not sure
 
Mpaka tuambiwe na ujasusi britanicca au kigogo au mange

Kweli waandishi wa Habari za
uchunguzi hatuna tangu wakatii ule wa stan katabaro

Juzi kati wAljaribu kidogo akina saidi kubenea, salva na muhingo
 
Sasa kosa la hizo media lipo wapi.?
Sasa kama hawajui alipo unataka wakwambie nini?
Wakisema amekufa utaamini?
 
Familia itawajibika kumtafuta maana huyu ni baba Familia. Je huyo ameondoka kwenye Familia yake? We umejuaje
Kuna haja kubwa sana uwepo wa ID fake kuondolewa hapa JF ili tufahamishane, maana unakuta mtu unamjibu mwanao kwa adabu badala ya kumpa na kofi la ufahamu 😐!.

CP. Makonda ni nani kwa mkoa wa Arusha?
 
 
Investigative media...hazitaki watu wenye njaa.
 
Katika hizi nchi zetu ambazo democracy ni ngumu na uhuru wa habari ni haupo ,ni ngumu kupata habari kama hii

Jiulize JF watu wanatumia ID fake mbn hawajweka taarifa za huyo mtu ?

Ama huko kwenye Mitandao mingine umeona wameandika hii habari kwa kiwango unachotaka wewe ? Shtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…