T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Kwahiyo huyo mke wa pili bima kupitia wewe alipataje kama mke wako na cheti cha ndoa kutoka RITA hujapeleka?Asante mkuu.Umetoa maelekezo mazuri japo kwa lugha ya ukali. Mimi siku submit vyeti viwili vya ndoa ila walifatilia wenyewe RITA wakakuta kuna usajili wa ndoa nyingine. Kosa langu kubwa nikutofanya michakato ya talaka kwenye ndoa ya kwanza.
Kwahiyo haukujua kuwa unapaswa kuwa na talaka kabla ya kuoa tena?Kwasasa haitasiadia kwani ilitakiwa iwepo kabla ya kufunga ndoa ya pili mkuu
PHQ-9,Hiyo afya ya akili unapimaje ngosha
Wewe afya yako ya akili ipo timilifu?PHQ-9,
Pole sana mkuu, muwe mnasoma mikataba jamaniNiende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Hayana mwongozo
Ndo huwa nawaza hawa bima ya afya hawapo kiafya isipokuwa afya ni mgongo wa kukusanya hela za masikini tu. Kama mke wa kwanza si mnufaika wa bima inakuaje mke mnufaika wamtilie shaka? Sela zao ni mke mmoja wa ndoa sasa huyu mwingine yeye anawahusu nini wakati hayupo kwenye bima.Hanufaiki
Kwahiyo huyo mke wa pili bima kupitia wewe alipataje kama mke wako na cheti cha ndoa kutoka RITA hujapeleka?
Kwamba bima yako unaweza fyatua mtu tu from nowhere ukaweka aanze kutumia benefits zako?
Sasa nafikiri ndio utaelewa kwa nini kanisani kunakuwa na tangazo la ndoa dominika kadhaa mfulululizi na bomani pia wanaweka tangazo la ndoa siku 21 kwenye ubao wa matangazo.Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Kwa nini wao pia wasingegundua hili kabla ya kumpa bima mkewe? Au walimtegeshea bomu na kweli limemlipukia au mifumo yao mwanzoni haisomi mpaka gharama za mteja ziwe kubwa au alipita njia za mkato kupata bima au au auKwahiyo umesubmit vyeti viwili vya ndoa NHIF vya wanawake wawili tofauti si ndio?
Yani ujinga kama huu unamfundisha nani? Huelewi divorce decree ina kazi gani?
Devorce decree ndio ilikuwa unatakiwa usubmit NHIF unarevoke jina mtalaka wako then ndio unafanya endorsement ya mke mpya na cheti kipya cha ndoa.
Halafu utashangaa ukiambiwa huyu naye ana Degree tena labda Masters kabisa.
Tangazo niliweka na lilikaa siku zilizohitajika. Kwa kifupi hata yule mke wakwanza angeona tangazo asingeweka pingamizi kwani anamaisha yake sawa namimi tu. Narudia,kosa langu nikutokuwa na hati ya talaka kwenye mchakato wa maombi ya bimaSasa nafikiri ndio utaelewa kwa nini kanisani kunakuwa na tangazo la ndoa dominika kadhaa mfulululizi na bomani pia wanaweka tangazo la ndoa siku 21 kwenye ubao wa matangazo.
Unaelewa maana yake? huyo mke wa kwanza alikuwa na uwezo wa kuzuia hiyo ndoa ya Bomani na usingefunga hiyo ndoa pingamizi lake lingekubaliwa.
Vijana jifunzeni kitu hapa, kichwa cha chini kisikiongoze kichwa cha juu.
Kubali wakupeleke mahakamani ukiwa na ndoa ya kanisani ni ruksa kufunga ndoa nyingine ya serikali labda zote zingekuwa za kanisani ndio kosa.Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Sijatumia njia ya mkato mkuu. Hata yule afisa wa bima nilimuuliza kuwa kwanini cheti changu kilionesha wazi ni ndoa ya wake wengi ila hawakuniuliza kuhusu hilo? Wakakazia tu kuwa nina makosaKwa nini wao pia wasingegundua hili kabla ya kumpa bima mkewe? Au walimtegeshea bomu na kweli limemlipukia au mifumo yao mwanzoni haisomi mpaka gharama za mteja ziwe kubwa au alipita njia za mkato kupata bima au au au
Hapa sasa ni issue ya kupata usaidizi wa kisheria kwani bado nina jukumu lakumuuguza mke.Yanapokuja mambo ya mahakamani lazima niwe na uhakika wakushinda kesiKubali wakupeleke mahakamani ukiwa na ndoa ya kanisani ni ruksa kufunga ndoa nyingine ya serikali labda zote zingekuwa za kanisani ndio kosa.
Kwanini wanakuzuia kuongeza mke wakati wewe umeshahasi dini?
Ingewaambia umeachana na kanisa imerudia dini ya asili na kuongeza mke unao wawili sasa simple tu nenda mahakamani.
Alafu utawadai na fidia ya kufunga kadi zako aaah aaah aaah unakuwa milionea
Anaye umwa ni yupi wa kwanza au wa pili?Nielewe mkuu.Mke wa kwanza tuliyeachana sijamkatia bima.Huyu wapili ndo nilipeleka cheti cha ndoa ya serikali. Tatzo limekuja baada ya bima kufanya uchunguz wakagundua kuna ndoa ya kanisani ambayo imesajiliwa RITA
Kama ulichoandika ndicho ukweli wenyewe hapa NHIF wamejipachika kazi isiyokuwa yao, wewe haujafoji cheti una ndoa halali kisheria, hizi dosari zako zingine haziwahusu.Nielewe mkuu.Mke wa kwanza tuliyeachana sijamkatia bima.Huyu wapili ndo nilipeleka cheti cha ndoa ya serikali. Tatzo limekuja baada ya bima kufanya uchunguz wakagundua kuna ndoa ya kanisani ambayo imesajiliwa RITA
Kwa ufafanuzi wake wa sasa soma post yangu #77Kwa nini wao pia wasingegundua hili kabla ya kumpa bima mkewe? Au walimtegeshea bomu na kweli limemlipukia au mifumo yao mwanzoni haisomi mpaka gharama za mteja ziwe kubwa au alipita njia za mkato kupata bima au au au
Bado sioni kosa hapo, umesubmit cheti halali siyo cha kufoji wao NHIF inawahusu nini?Tangazo niliweka na lilikaa siku zilizohitajika. Kwa kifupi hata yule mke wakwanza angeona tangazo asingeweka pingamizi kwani anamaisha yake sawa namimi tu. Narudia,kosa langu nikutokuwa na hati ya talaka kwenye mchakato wa maombi ya bima