Wewe soma Mkwawa alikuwa na wake wangapi? Mirambo wake wangapi? Bwana Heri wake wangapi? Mangi Meli,Mangi sina kinjikitile Ngwale utafaidika zaidi kumbuka ndoa zao hazijawahi vunjika na zilikuwa na ubora wa viwango vya juu.Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mke we wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini?
Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa ulaya yafate?
Tena wanaume wakiuona watasema kumbe ni ruhusa kuwa na wanawake wawili😅Na hauwezi kusomwa kanisani, utazua maswali mengi sana
Ndiyo shida ya kusoma Biblia kama gazeti. Biblia imeandikwa kimafumbo inabidi utulize akili ili upate maana kamili. Tafuta nyoka au nge umkanyage kwasababu umepewa mamlakaNa wanawake saba watamshika mume mmoja, nakusema tule kwa chakula chetu ila tuitwe kwa jina lako .
Mbona tunawakanyaga sana tu mpaka wanakufaNdiyo shida ya kusoma Biblia kama gazeti. Biblia imeandikwa kimafumbo inabidi utulize akili ili upate maana kamili. Tafuta nyoka au nge umkanyage kwasababu umepewa mamlaka
Luka 10:19
" Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru".
Isaya 4: 1noma sana
Mathayo 19:1-11Kutoka 21:10
Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mke we wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.
Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini?
Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa Ulaya yafate?
Thubutu! .Mbona tunawakanyaga sana tu mpaka wanakufa
Usifanye maisha kuwa magumu, sio kila mstari lazima uwe na maana zaidi ya moja. Hao nge na nyoka huku kiumeni tunawakanyaga ile mbaya na hawatoboiThubutu! .
Someni Biblia vizuri, Biblia haisomwi kama gazeti. Ndiyo maana mnapata maana tofauti
Usifanye maisha kuwa magumu, sio kila mstari lazima uwe na maana zaidi ya moja. Hao nge na nyoka huku kiumeni tunawakanyaga ile mbaya na hawatoboiThubutu! .
Someni Biblia vizuri, Biblia haisomwi kama gazeti. Ndiyo maana mnapata maana tofauti
Ugumu wa mioyo kwani ulishaisha?Mathayo 19:1-11
1 Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Uyahudi, ng'ambo ya Yordani.
2 Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.
3 Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
MAANA YAKE
Hutakiwi umuache mkewe isipokuwa kwa uasherati tu. Kama umemfuma kwa uasherati na ukavunja ndoa basi unatakiwa hudumie famili yako mtoto/watoto ukipendezwa na mkeo ila si kuingiliana kimwili. Kwasababu tayari umemuacha, hapo utakuwa umeoa mke mwingine ila kama umemsamehe hautakiwi kuoa mwanamke mwingine kwasababu unafanya uasherati (wazini).
Turudi kwenye mstari wako, hapa umeoa na ndoa yako haijavunjika na una mke mwingine. Ndoa inayotambulika ni ya yule ya mke wa kwanza tu (elewa). Ya mke wa pili utakuwa unafanya usherati kwahiyo unatakiwa uendelee kumhudumia mke wako wa kwanza kwa kila kitu na umtosheleze kwa mahitaji yake kwasababu ndiyo Mungu anayoitambua. Ila mke wa pili haitambuliwi na unafanya uasherati. Ukiamwacha ukahamia kwa mke wa pili bado unaendeleza ushaerati (wazini). Unatakiwa umhudumie mkeo wa kwanza kwa kila kitu.
Ndoa ya mke wa pili haijaruhusiwa ndiyo maana Mungu anatambua ndoa ya mke mmoja na mume mmoja ile ya kwanza na hutakiwi umuache. Mhudumie
Someni Biblia vizuri. Biblia haisomwi kama gazeti.
Hakuna mafumbo bana vitu viko wazi,mkipewa msitari unaenda kinyume na Imani yenu mnaanza habari za roho mtakatifu,mafumboNdiyo shida ya kusoma Biblia kama gazeti. Biblia imeandikwa kimafumbo inabidi utulize akili ili upate maana kamili. Tafuta nyoka au nge umkanyage kwasababu umepewa mamlaka
Luka 10:19
" Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru".
Unataka aongezwe mwenzako?Oooh Sijawahi kusoma mstari huu.... interesting 🤔🤔
Ndiyo maana mnakuja na maana tofauti. Biblia inatakiwa isomwe na watu wenye utulivu wa akili kwasababu ukisoma nje ya hapo utakuja na maana ambayo watu watabaki wanakushangaa.Hakuna mafumbo bana vitu viko wazi,mkipewa msitari unaenda kinyume na Imani yenu mnaanza habari za roho mtakatifu,mafumbo
Ha ha ha ha haUgumu wa mioyo kwani ulishaisha?