Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Shule za kuungaunga kutoka kwenye ukonda wa daladala ni shida sana,taifa la chama kimoja lenye maendeleo ya kudidimiza watu kwa bidhaa fake ni china pekee,na linafilisi mataifa dhaifu,mbona halinganishi na mataifa tajiri yaliyomengi kwa sababu ya mfumo wa demokrasia.
Upigaji wote wa taifa hili umefanywa na CCM
 
Naunga mkono hoja.Tunahitaji kufuata siasa za chama kimoja na ujamaa kama venezuela kwa Maduro.
 
Kwan mfumo wa chama kimoja haukuwepo...nn matokeo yake.
Vipi kuhusu nchi za Ulaya na Marekani ambazo zipo kwenye mfumo wa vyama vingi hazina maendeleo.
Kuna tatizo na system ye2,mambo sio mazuri hata kidogo,walianza kuminya Uhuru wa habari..mitandao ya kijamii ikawaumbua,wakaja na sheria ovu ya takwimu,wafadhili wakawaumbua sasa huu mswada wa sheria ya vyama vya siasa. Ukitazama kiundani hakuna hata moja lenye faida chanja kwa taifa.. yote yana lengo la kuhalalisha uovu wa ccm kwa Watanzania. Mungu alivyomkubwa watashindwa tena. Hakuna mwana ccm mwenye nia njema ya kulisogeza taifa mbele..wote wanalengo moja tu. Kuandaa mazingira ya kuchumia matumbo yao chini ya miamvuli ya sheria ovu.
 
This shit is castrated! Simbachawene
 
Huyu nae analopoka nini atwambie amekula kuku ngapi wkt anamsaidia baba yake Uganga.baba yake ni mganga wa kienyeji
 
*Kutoka katika chanzo changu cha kuaminika (Kimada wangu anayefanya moja ya kazi ndani ya Mjengo)

Taarifa ni kuwa kuna Onyo lilitolewa na mmoja wa Maafisa wakubwa wa Chama (Jina Ninalihifadhi) kwenye kikao cha siri cha dakika 15-20 na baadhi ya Wabunge kama 17 wa Chama Tawala ambao pia kwa namna moja ama nyingine hawakuwa wakikubaliana na baadhi ya Vipengele vya Muswada ule uliopitishwa.

"Nimeambiwa niwaite niwape ujumbe, Yule atakayesaliti na kukiuka makubaliano yetu ya kupitisha Muswada huu, atashughulikiwa, siku zake pamoja nasi zitahesabika na Tusilaumiane kitakachomkuta"

ilikuwa ni moja ya kauli ya Afisa huyo kwenye kikao hicho kilichofanyika ndani ya moja ya vyumba vya mkutano bungeni Mapema Asubuhi siku ya Jumatatu.

Chanzo changu kinaendelea kusema kuwa Suala la Bundi kuonekana ndani ya Ukumbi wa Bunge lilipotokea lilizidi kuwatia Hofu na kuhusishwa na masuala ya Kishirikina hivyo kila mmoja wao kutepeta na kuunga mkono kukubaliana na kilichokuwepo ili tu kunusuru Maisha yao kwa kuogopa kurogwa na kutolewa Kafara kwa kuzingatia Ujumbe waliopewa na kuoanisha maana tuliyozoea ya Bundi kuonekana kuhusishwa na Bahati mbaya, Ugonjwa, au Kifo.

Ila hili la Bundi Pengine pia inaweza kuwa ni janja tu ya kuchezeana akili kwa kumkamata ndege huyu na kumtupia ndani ya Bunge ili kuwaogofya wahusika na kuwaaminisha juu ya ujumbe waliopewa.

Vinara wa Tunguli na Ulozi Bungeni hakyanani tena Hamuendi Mbinguni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…