Taarifa kama hiyo sio ya kujadiliwa humu jf..iende facebookha ha ha... nilijua kuwa kuna baadhi watawahusisha jamaa zetu wa Chadema humu. Let's stay out of kushutumu vyama na tujadili lililopo
This shit is castrated! Simbachawene
Nashukuru kwa maoni...kukumbusha tu hii ni platform pana sana kuna baadhi ya member wangependa kufahamu habari hii...iwapo si relevant kwako unaweza kuiacha ikupite ikawahusu wengine ambao inaweza kuwahusu kwa namna moja au nyingine.
Ni ubabe tu uwe wa risasi, uchawi, kutekana. Lakini tutafika.
mkuu umeshajiuliza ni kwanini Jf tunatumia fake ID?Bila shaka! Kama Admin akiniruhusu kwa maandishi na kuahidi kunilinda humu naweza kufanya hivyo. Ingawa habari hii wakiipata wahusika wanaweza kuanza kutafuta mvujisha siri na huenda ikamuweka pabaya Mamsapu iwapo atagundulika baadhi yao ni mabesti zake
Nakuelewa Nyakubonga ila kuna baadhi ya threads zangu kadhaa muhimu nilizofunguka freely zilishawahi kufutwa humu ndani bila taarifa yoyote. Naogopa nisije nikachezea Ban!mkuu umeshajiuliza ni kwanini Jf tunatumia fake ID?
hili ndio jukwaa pekee unaloweza kuandika chechote, haijalishi kitamgusa nani, ila kiwe cha kweli
Weka ushahidi wa taarifa yako, you have to know, we dare to speak openly here.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hapa Jf, member hapigwi ban kwa kuandika ukweli, we andika tuNakuelewa Nyakubonga ila kuna baadhi ya threads zangu kadhaa muhimu nilizofunguka freely zilishawahi kufutwa humu ndani bila taarifa yoyote. Naogopa nisije nikachezea Ban!
Hii imenikumbusha kisa cha Habili Na Kaini kweny Bible. Kaini baada ya kuona mwenzake ametenda vyema na akapata kibali akafikiria kumuua kwa kuhisi kwamba hata pata competition tena mwisho wake akaishia kupata adhabu kubwa mno. Kwasababu pia Mungu ali mtahadharisha mapema kuwa "Kama ukitenda vyema hutapata kibali!?"
Sasa kama serikali itafikiri kuua upinzani ndo kuleta maendeleo ngoja wajaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe huwa una faili pale kwenye hospitali yetu ya Dodoma?Kwendraaaaa uko hata Neno ulijui walahi
Na utakufa kama Abeli walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema kwisha kabisa habari yenu...mpaka mnaanza kumsingizia bundi*Kutoka katika chanzo changu cha kuaminika (Kimada wangu anayefanya moja ya kazi ndani ya Mjengo)
Taarifa ni kuwa kuna Onyo lilitolewa na mmoja wa Maafisa wakubwa wa Chama (Jina Ninalihifadhi) kwenye kikao cha siri cha dakika 15-20 na baadhi ya Wabunge kama 17 wa Chama Tawala ambao pia kwa namna moja ama nyingine hawakuwa wakikubaliana na baadhi ya Vipengele vya Muswada ule uliopitishwa.
"Nimeambiwa niwaite niwape ujumbe, Yule atakayesaliti na kukiuka makubaliano yetu ya kupitisha Muswada huu, atashughulikiwa, siku zake pamoja nasi zitahesabika na Tusilaumiane kitakachomkuta"
ilikuwa ni moja ya kauli ya Afisa huyo kwenye kikao hicho kilichofanyika ndani ya moja ya vyumba vya mkutano bungeni Mapema Asubuhi siku ya Jumatatu.
Chanzo changu kinaendelea kusema kuwa Suala la Bundi kuonekana ndani ya Ukumbi wa Bunge lilipotokea lilizidi kuwatia Hofu na kuhusishwa na masuala ya Kishirikina hivyo kila mmoja wao kutepeta na kuunga mkono kukubaliana na kilichokuwepo ili tu kunusuru Maisha yao kwa kuogopa kurogwa na kutolewa Kafara kwa kuzingatia Ujumbe waliopewa na kuoanisha maana tuliyozoea ya Bundi kuonekana kuhusishwa na Bahati mbaya, Ugonjwa, au Kifo.
Ila hili la Bundi Pengine pia inaweza kuwa ni janja tu ya kuchezeana akili kwa kumkamata ndege huyu na kumtupia ndani ya Bunge ili kuwaogofya wahusika na kuwaaminisha juu ya ujumbe waliopewa.
Vinara wa Tunguli na Ulozi Bungeni hakyanani tena Hamuendi Mbinguni!