Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Wamechelewa sana hii inaweza kuwa kifo kwa CCM kama kweli ndio lengo lao. Kwa karne hii Ukomnisti wala usociolist haupo tena na capitalist ndo kama wanaufagia fagia utoweke kabisa duniani. Sasa hawa watu waliokuwa wapiga debe hawawezi kuelewa haya mambo makubwa.
 
Hata mkitunga uongo muswada ndo ushapita hivyo TULIENI DAWA IWAINGIE.
NO FURTHER DISCUSSION OPEN.
 
CCM ndy chama ambacho kimefikisha nchi hapa ilipo,kama ndy mawazo ya mtu ambaye alikuwa kipindi hicho cha JK waziri na akachaguliwa pia na JPJM akawa waziri na inawezekana pia ni mojawapo ya watu ktk ile taasisi nyeti kabisa ya taifa, basi utajua tu mawazo ya hiyo taasisi yetu nyeti yameganda kama siyo tu yapo pomomo kama wasemavyo wana great thinkers hapa JF na kama wakiendelea kuwepo basi maendeleo tutayasikia kwenye Tv na magazeti tu.

maendeleo ya vyama ndy maendeleo ya demokrasia na maendeleo hayana vyama[Rais ya jamhuri wa Tz]
 
Bila shaka! Kama Admin akiniruhusu kwa maandishi na kuahidi kunilinda humu naweza kufanya hivyo. Ingawa habari hii wakiipata wahusika wanaweza kuanza kutafuta mvujisha siri na huenda ikamuweka pabaya Mamsapu iwapo atagundulika baadhi yao ni mabesti zake
mkuu umeshajiuliza ni kwanini Jf tunatumia fake ID?

hili ndio jukwaa pekee unaloweza kuandika chechote, haijalishi kitamgusa nani, ila kiwe cha kweli

Weka ushahidi wa taarifa yako, you have to know, we dare to speak openly here.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umeshajiuliza ni kwanini Jf tunatumia fake ID?

hili ndio jukwaa pekee unaloweza kuandika chechote, haijalishi kitamgusa nani, ila kiwe cha kweli

Weka ushahidi wa taarifa yako, you have to know, we dare to speak openly here.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa Nyakubonga ila kuna baadhi ya threads zangu kadhaa muhimu nilizofunguka freely zilishawahi kufutwa humu ndani bila taarifa yoyote. Naogopa nisije nikachezea Ban!
 
Nakuelewa Nyakubonga ila kuna baadhi ya threads zangu kadhaa muhimu nilizofunguka freely zilishawahi kufutwa humu ndani bila taarifa yoyote. Naogopa nisije nikachezea Ban!
mkuu hapa Jf, member hapigwi ban kwa kuandika ukweli, we andika tu

Wanaopigwa ban humu ni watukanaji, wazushi na wanaoweka hadharani mambo ya pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenikumbusha kisa cha Habili Na Kaini kweny Bible. Kaini baada ya kuona mwenzake ametenda vyema na akapata kibali akafikiria kumuua kwa kuhisi kwamba hata pata competition tena mwisho wake akaishia kupata adhabu kubwa mno. Kwasababu pia Mungu ali mtahadharisha mapema kuwa "Kama ukitenda vyema hutapata kibali!?"
Sasa kama serikali itafikiri kuua upinzani ndo kuleta maendeleo ngoja wajaribu


Sent using Jamii Forums mobile app

Kwendraaaaa uko hata Neno ulijui walahi
Na utakufa kama Abeli walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapiga kura wake jimboni kwake wamemsikia ?Ndio walichomtuma au kwa kusema hivyo ndio jiwe atamrudisha kwenye uwaziri .
 
*Kutoka katika chanzo changu cha kuaminika (Kimada wangu anayefanya moja ya kazi ndani ya Mjengo)

Taarifa ni kuwa kuna Onyo lilitolewa na mmoja wa Maafisa wakubwa wa Chama (Jina Ninalihifadhi) kwenye kikao cha siri cha dakika 15-20 na baadhi ya Wabunge kama 17 wa Chama Tawala ambao pia kwa namna moja ama nyingine hawakuwa wakikubaliana na baadhi ya Vipengele vya Muswada ule uliopitishwa.

"Nimeambiwa niwaite niwape ujumbe, Yule atakayesaliti na kukiuka makubaliano yetu ya kupitisha Muswada huu, atashughulikiwa, siku zake pamoja nasi zitahesabika na Tusilaumiane kitakachomkuta"

ilikuwa ni moja ya kauli ya Afisa huyo kwenye kikao hicho kilichofanyika ndani ya moja ya vyumba vya mkutano bungeni Mapema Asubuhi siku ya Jumatatu.

Chanzo changu kinaendelea kusema kuwa Suala la Bundi kuonekana ndani ya Ukumbi wa Bunge lilipotokea lilizidi kuwatia Hofu na kuhusishwa na masuala ya Kishirikina hivyo kila mmoja wao kutepeta na kuunga mkono kukubaliana na kilichokuwepo ili tu kunusuru Maisha yao kwa kuogopa kurogwa na kutolewa Kafara kwa kuzingatia Ujumbe waliopewa na kuoanisha maana tuliyozoea ya Bundi kuonekana kuhusishwa na Bahati mbaya, Ugonjwa, au Kifo.

Ila hili la Bundi Pengine pia inaweza kuwa ni janja tu ya kuchezeana akili kwa kumkamata ndege huyu na kumtupia ndani ya Bunge ili kuwaogofya wahusika na kuwaaminisha juu ya ujumbe waliopewa.

Vinara wa Tunguli na Ulozi Bungeni hakyanani tena Hamuendi Mbinguni!
Chadema kwisha kabisa habari yenu...mpaka mnaanza kumsingizia bundi
 
People suffer so much,they don't have time to smile,politicians cause it-Robert(Bob)Nesta Marley.
 
Back
Top Bottom