Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Arusha wamekata umeme kama walivyofanya jana wakati lowasa anahutubia, napata wasiwasi chaguo la ikulu ni wasira maana ndie tulieweza kumsikiliza mwanzo mwisho bila hitilafu ya umeme..
 
hivi hakuna uzi mwingine wa live,maana huyu bavicha kama anahujumu uzi wake mwenyewe.
haweki update wala picha makusudi.
huyu mwigulu nae hakujipanga mtu wa kurusha live hapa.
au hana hela nini?
 
Mwigulu mbona hafiki au gari yake imepata pancha?
 
Arusha wamekata umeme kama walivyofanya jana wakati lowasa anahutubia, napata wasiwasi chaguo la ikulu ni wasira maana ndie tulieweza kumsikiliza mwanzo mwisho bila hitilafu ya umeme..

Wewe upo arusha maeneo gani mbona umeme upo au luku imeisha kwako?
 
Familia ya madelu imejaa watoto 16 ambao hawakufika kidato cha sita! Kazi ipo
 
huyu ni sawa na jiwe la kushikia foleni...
 
Wasomi walikuwa zamani hawa wa sasa hata ukimuuliza unasoma ili ufanye nini katika Taifa lako hata akikujibu atakujubu huku akiwa hana hakika nakile anachokiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…