OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama kipaimara kumbe tangaza nia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mara hawarembi
Saivi niko kwenye eneo la tukio naona kweli chama cha kijani kimekufa- wamejaza ukumbi kwa watu wa kukodi.
Hebu tuwekeee picha akiwabeba watu.
Kama kipaimara kumbe tangaza nia
Hebu tuwekeee picha akiwabeba watu.
Hebu tuwekeee picha akiwabeba watu.
Amejaza wana Kiomboi ukumbini,hata hawajui wameijia nini wabibi wa watu
Baki na ujinga wako! Zile Costa za nini sasa zimebeba mavi ya punda?
Saivi niko kwenye eneo la tukio naona kweli chama cha kijani kimekufa- wamejaza ukumbi kwa watu wa kukodi.
Watu lazima wabebwe waje kumshangilia maana hujiamini kama utapata watu.
kigezo cha kipuuzi hiki,nadhani angesema amefanya nini kipindi cha ubunge na uwaziri mdogo
Arusha wamekata umeme kama walivyofanya jana wakati lowasa anahutubia, napata wasiwasi chaguo la ikulu ni wasira maana ndie tulieweza kumsikiliza mwanzo mwisho bila hitilafu ya umeme..
Naona hii sasa imekuwa ndio fashion na utamaduni kwa wana-CCM wanaosaka uraisi.
Muda huu ninapoandika kuna magari aina ya coaster yamekodishwa ili kubeba wanafunzi wa chuo kikuu na kuwapeleka Chuo cha Mipango Dodoma kwenye tukio la Mwigulu kutangaza nia.
Nasikitika kuona hata wanafunzi wa vyuo vikuu nao hawajitambua!
Binafsi nimebaki naangali tu tukio hili nikiwa kwenye gate kubwa la kuingilia na kutoka hapa chuoni.