barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nafikiri Manu angepigwa furaha yako ingekamilika zaidi.Mkuu furaha aliyonipa Liverpool weekend hii ilikuwa si ya kifani mkuu.
Sasa leo mnyama anaua baada ya jana Yanga kudroo, ni furaha zaidi.
Hivi CCM na Polepole hawamuoni Okwi wamnunue kuimarisha chama?haaaaa haaaaa barafuyamoto
Hivi CCM na Polepole hawamuoni Okwi wamnunue kuimarisha chama?haaaaa haaaaa barafuyamoto
Kibubu kinahalimbayaHivi CCM na Polepole hawamuoni Okwi wamnunue kuimarisha chama?haaaaa haaaaa barafuyamoto
Mnyama mwenye team yake kuna watu wamenuna matokeo waliyokuwa wanayataka tofauti na ilivyokuwaMwenye timu karudi.
Tabasamu tu mkuu maisha yenyewe mafupi hayaNikifika kwenye Avatari yako lazima nianze kutabasamu,haya bwana
Nafikiri Manu angepigwa furaha yako ingekamilika zaidi.
Kumbe upo nilijua umeshaondoka mzima lakiniNipo hapa Babu niambie mzima?
Very soon anasajiliwa huyu, yule straika hatari wa Ukonga prisons FC, papii kocha ameshasaini, hahahaaaaaaaa!!Hivi CCM na Polepole hawamuoni Okwi wamnunue kuimarisha chama?haaaaa haaaaa barafuyamoto
He he umeongea kwa kujiladhimishamwaka huu mikia wanabeba kombe
Dada 4 sifuri me mbona nipoo naanzaje kukimbiaTeh. Dada umerudi?
Kwani ngapi ngapi sababu huku umeme umekatika? [emoji85]
Who cares?Unaweweseka nn si umeshamalizana na mbao? Bado kipigo toka Azam
Hahahha habar yako mkuuHe he umeongea kwa kujiladhimisha
Me pande ya mnyamaKumbe na wewe ni wa pande hiii!! safi sana
Yaani niko Singida United leo. [emoji85].
Lazima Mnyama akae. Hahahaaa.
Nakupenda tu mimiNipo hapa unasemaje mrembo.
Salama radika za weweHahahha habar yako mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Simba ni mboga ya singida [emoji1] [emoji1]
Ni kama alivosikiaMkuu Habari Yako?