Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Yaani leo mnyama analiwa live [emoji12] [emoji12] [emoji12]



Umewahi Kusikia Mnyama Simba Kuliwa na Sungura???
[HASHTAG]#Chura[/HASHTAG] ndiyo Kimekumbana na Ubao Wa Mvinje Hakikufurukuta! 😀 😀 😀
 
hili limenifanya nicheke sana. jana siku nzima wachezaji wa singida wanazunguka zunguka kwenye mabasi ya mwendo kasi na kupanda train ya mwakyembe.asubuhi niliowana kwenye train wametoka ubungo wanaenda posta wakageuza nalo. wakarudi ubungo kwenda kupanda mabasi ya mwendo kasi. wakazunguka kote kimara,morocco,kariakoo na posta. jioni wakaenda kupiga picha daraja la kigamboni. sijui walirudi saa ngapi na kupumzika. leo wamegongwa vinne wakawaambie dada zao kule jangwani.

wameniudhi sana kwa mambo yao ya kipuuzi. si wangesubiri wamalize mechi ndo wakapige selfie?
 
Simba Raha Sana [emoji92]
[emoji306]
[emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316]
[emoji316][emoji91][emoji316][emoji316][emoji316][emoji91][emoji316]
[emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316]
[emoji316][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji316]
[emoji316][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji316]
[emoji316][emoji316][emoji316][emoji316][emoji316]
 
Asante sana Kwasi
 
Mambo ni hivi [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258] [emoji258]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…