Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,508
Mkuu mimi imenipita alikuwa wapi wakati anasema kwenye mkutano?Kwakweli nimeisikia live ila sijaipenda na hii inaonyesha wazi binaadamu hatuko salama zaidi kwa Mwenyezi Mungu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi imenipita alikuwa wapi wakati anasema kwenye mkutano?Kwakweli nimeisikia live ila sijaipenda na hii inaonyesha wazi binaadamu hatuko salama zaidi kwa Mwenyezi Mungu..
Kuna watu wana roho ngumu kama roho ya Paka. Bado tu hamuamini kwamba Watanzania wana kwenda kwenye mikutano ya CCM kumuaga Magufuli na chama chake.
Atatujazia Vyoo Vyetu Vya IKULU Kwa Kinyesi Na Kutuharibia Bajeti Zetu Za Kununua Toilet Papers. Bora Kwake Monduli Yakimshika Anaweza Hata Kujifuta / Kutawaza Kwa Nyasi au Ngozi Za Ng'ombe.
Iron sharpenth iron.Ni kweli.
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
Tumsamehe na kumuombea Mungu amhurumie ampe upeo.tusimuombee mabaya hatuta kua natofauti na yeye Mungu atakutana nae kwa namna yake.Tumpende tu.
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
AIBU KWA CHAMA CHAKE!,NA WALIOMPA MADARAKA YAKAMLEVYA!Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
Plz, tuwekee picha ya mwakalebela akipiga push up jukwaani!
God will punish him, Nape ndo amaesababisha ccm imechukiwa na vijana wote coz ya pumba zake