Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Hata Mbeya jana aliishia kuzomewa tu na kuambiwa kuwa watu wanamtaka Lowasa,, Viva Lowasa Viva Mabadiriko.
 
Nape ajifunze kwa celina Kombani na Komba dhidi ya Warioba. Msije mkashangaa Nape anakufa kabla ya Lowasa, Kifo ni kifo hata kama ni ajali, Cha muhimu kujua ni kwamba hesabu za maisha ya binadamu ziko mikononi mwa Mungu.
 
Atatujazia Vyoo Vyetu Vya IKULU Kwa Kinyesi Na Kutuharibia Bajeti Zetu Za Kununua Toilet Papers. Bora Kwake Monduli Yakimshika Anaweza Hata Kujifuta / Kutawaza Kwa Nyasi au Ngozi Za Ng'ombe.

Haaaahaaaahaaaa..... ROFL!!
 
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?

Hebu ndg achakutetea ujinga huo wewe. Hivi kichwa chako kinafanyakazi vizuri kweli? Mnataka kutuletea maadiligani hayo nchi hii nyie? Kwa umri wahuyo Nape na Lowasa wapi nawapi mpk utetee huo ujinga. Vijana mnajitafutia laana mchana nyie. Naujue huwezi kumnenea ujinga kamahuo mtumzima kama babako alafu ukaishi salama.

Lowasa anawatoto, nambie kamaniwewe babako anatukanwa hivo tena nakijana mwenzio utajiskiaje? Tumia akiri achakujitoa ufahamu. Hujafa hujaumbika kijana.
 
Tumsamehe na kumuombea Mungu amhurumie ampe upeo.tusimuombee mabaya hatuta kua natofauti na yeye Mungu atakutana nae kwa namna yake.Tumpende tu.

Sina muda wa kumuombea kwa Mungu mpuuzi kama Nape.
 
[h=2]MAGUFULI,NAPE ,MWAKALEBELA WAUNGURUMA IRINGA[/h]
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Samora.
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa ambapo aliwaeleza wananchi wa hapo kuwa ana historia na mkoa huo kwani alisoma hapo na alishafanya mazoezi ya kufundishia hapo hivyo atahakikisha mkoa huo unakuwa vizuri kimaendeleo.
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Iringa mjini waliofurika kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.
 
nasema kweli tena kweli kabisa. ubadilishe bwana siobiringa mjin tuuvna wale tukiowafuata kule naniiii........ naobnibwakazi wa mjin
 
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?

 
Last edited by a moderator:
Inamaana hadi kikwete anamchagua lowassa kuwa waziri mkuu na ilihali lowasa mwizi je yeye nape alikua wapi na kwanini? hawakumchagua nape kama yeye kweli alikua ni mtakatifu. Na ninacho fahamu mimi ccm hamna wakumnyoshea kidole lowasa ila ni dharau tu na majungu. Kama nape kiheshima lowasa ni sawa na baba yake kabisa na nape atakuwa amelelewa na wakina lowasa ndani ya chama na ilitakiwa heshima iwepo pale pale.
 
Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
AIBU KWA CHAMA CHAKE!,NA WALIOMPA MADARAKA YAKAMLEVYA!
**--->>FROM MY HEART NINA IMANI HATA MANGULA NA KINANA WANATAMANI KUKITOSA HICHO CHAMA!
KIMEJAA ""UTOTO"" MWINGI SANA!
ii
 
Magufuli rais wa awamu ya tano,mungu tu pamoja na wewe iringa umeyafanya mengi tunayakumbuka viva magufuli
 
Tuwekee picha mikutano yake yeye mwenyewe aliyofanya hapo Iringa
 
Magufuli endelea kuishi kwa Matumaini. Ninakuonea huruma mnatumia rasilimali nyingi na mtaangukia pua.
 
God will punish him, Nape ndo amaesababisha ccm imechukiwa na vijana wote coz ya pumba zake

Cha ajabu hata viongozi wake akina JK, Mangula, Kinana, Mkapa, Mwinyi na wengine wote wamenyamazia tu matusi ya Nape!
Itawacost sana hii kitu.
 
Back
Top Bottom