Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Umejitahidi sana almost hukuacha kitu, this is superb!
 
Mimi elimu ninayo tayari...nataka ajira..
Mheshimiwa lowassa mbona hukuongelea VIWANDA ??????
 

mbona unapanic utadhani ndo kesho watu wanaenda kwenye kura, umeambiwa vipau mbele ni hivyo unataka aanze kusoma ibara kwa ibara subiri kesho magazeti yataleta hotuba yote na utasuuzika moyo,make maccm ni wazuri kwa kudandia treni kwa mbele.
 

mbona magufuli alimsahau mkewe akakumbushwa na kikwete
 
Hakika Lowasa ni chaguo la mungu na chaguo la watanzania,hiyo imetibithika baada ya waziri mkuu wa zamani mhe. sumaye kumsafisha mgombea urais wa chadema,mhe. Lowasa na kumwombea kura za ndio toka kwa wananchi.hakika lowasa rais ajaye wa awamu ya 5.

Anaethibitisha ni binadamu,tujifunze kuwachambua watu kwa kina na kwa akili ya utulivu
 
aibuuuu lowassa leo aibu, bora isirudiwe coz ndo atazidi kupoteza kura

Kusema atamwachia huru Babu Seya, hiloi nalo ni kipaumbele cha Taifa cha kuwekewa kwenye Ilani ya uchunguzi? Guys be serious please.
 
Hivi hata Monduli wananchi wake wana access ya website ya chadema ambayo yeye mwenyewe imempa tabu kuitamka
 
hahaha ndio hicho tu umekisikia mkuu?

Mkuu uoga wa Mbowe ndio umetufikisha hapa .mbowe hakuamini Slaa anaweza wa Tanzania walikua wanataka Mabadiliko lakini mmetuvunja nguvu .Alafu Mbatia anaimba Nyimbo za Tenzi za Rohoni kwenye Mkutano wa Siasa
 

Kweli mkuu hakuna wa kuzuia nguvu ya umma popote duniani
 
Last edited by a moderator:
Tunataka sera sio mipasho,au mnataka kushika dola bila ya kuwa na sera,mimi nilidhani leo ilikuwa siku ya kusikia ilani na sera za usharika wenu,haya mambo ya Twiga mbona tunayajua,na yamefanyika miaka mingi,au Sumaye ndio anajua leo,hizo ni hasira za makapi.
 
aisee leo nmeshika kichwa tuu yaani kwanza anasema elimu bure kwa mkakati ipi ?? tunataka sera zinazotekelezeka nkajua atasema ataongeza maslahi ya walimu labda ingekuwa imenyooka, kazi kusema atamtoa babu sea na mashekhe je hiyo ndo kiu ya watanzania???? kwa kweli kwenye ubunge na udiwan tupo pamoja ukawa lakini sina budi kura yangu ikafie kwa tingatinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…