Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015


"Fears of unknown "
SUMAYE ametoa diagnosis sasa nakuongezea wewe ni symbiotic psychosis
 
Uendaji wa kumtoa babu seya sio eee!!!!! Inaonekana hii hoja itawasaidia sana mamilioni ya wananchi kaka.....

Hao wanaoongea kama kasuku wanatoka na kutuacha solemba. Na hilo unalijua bila ushabiki
 
Lowasa kila siku muda haumruhusu kuongea, Lini utamruhusu.!
 
Kwa huu upuuzi wa huyu jamaa hapa jangwani, naamua kurudi CCM. wala cjui kusoma na wala hiyo www.wwwww.wwwww cjui ni kitu gani.
Alafu ahadi gani hizo za kuwaleta kina balali!?
Kama ni elimu magufuli keshaahidi. Au kwa kuwa huku ni elimu *3!?

utakuwa lofa
 

..ASANTE;mazezeta wanadhani kua na mdomo mrefu ndio sifa ya kua president,hakika kwa hii miaka kumi watanzania tumerudishwa nyuma mpk uwezo wa kufikiri.!
 
I hope his mind faculties are still intact. Ananitia wasiwasi sana huyu mzee. Yaani yupo yupo tu kama zombie no charisma no nothing. Sijui wanamzidishia hayo masindano wanayosema huwa anadungwa? Mwanasiasa gani at a grand and historical stage kama hii anashindwa angalau kuonyesha kuwa yuko motivated, energetic and inspired?

Tha journey is just starting and gonna be a bumpy ride ahead. Akimaliza kampeni salama kura yangu nitampa kama nitakuwa hai lakini ananiogopesha sana because without him at this stage, upinzani kwishnei na Mbowe sijui atahamia sayari gani. Mungu Amsaidie kwa kweli!
 
Mkuu jamaa mweupe na mwepesi kama pamba,pia ameshindwa hata kuelezea jinsi ya kupambana na rushwa pamoja na ufisadi,halafu anasema tukasome kwenye mitandao ,huyu jamaa anaonekana kweli hajui hali halisi ya watanzania ,eti muda umebaki mchache jamaa kweli msanii akina Juma Nature wapate muda mrefu halafu yeye akose muda,waseme tu jamaa hawezi kuongea zaidi ya dk 10 .
 
utamuelewa tu subiria kesho Dodoma utajua lengo lake hapa ni msbadiliko tu hatutaki maneno mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…