Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara

Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu
 
Baada ya mwakyembe kumwambia kwamba akifungua domo lake kuhusu richmond kesi ya jinai haina kikomo cha muda, naona mzee Lowasa kafya mkia, cheze mwakyembe wewe, Mbona sumaye akuongelea kuhusu nyumba kumpiga dongo magufuri au kwa vile alilitolea ufafanunuzi kipindi anataka urais kupitia CCM. kampiga dongo la madeni ya wakandarasi tu.

Tumeamini Lowasa ni King maker wa Richmond deal na swaiba wake Rostam Aziz, kujibaragua kote uko kwamba ni mkuu ndiye aliyetoa order ulikuwa usanii tu mwaka utaisoma number.
 
leo nimechana kadi yangu ya uanachama ya ccm na kura yangu ni kwa edo mamvii
 

Yaani dreva nilimwambia aendeshe gari kama limeibwa lakini sijauwahi huu mkutano wa kihistoria,wewe nifah umenitelekeza kunitumia picha japo uliniahidi!!! Kwaaaaaaaaaaa
 

Attachments

  • 1440865397076.jpg
    39.5 KB · Views: 287
ukweli ni kwamba content wise UKAWA hawakujipanga

Kujipanga ni kupi? Kusema njia sita hadi Morogoro na vipaumbele zaidi ya 80, ambapo mtanguliz wake alitoa vipaumbele67, na hata nusu hakufikia. Hatudanganyiki!
 
VIPAUMBELE MUHIMU:
1)Elimu, Elimu, Elimu
2)Afya
3)Kilimo
4)Mawasiliano (Reli na Air Tanzania)
5)Maji
6)Katiba (kadri ya Mgombea mwenza)

🗿In short: Vipaumbele huwa ni vitu vichache vinavyowezesha vingine katika vingi viende sawa

⚡AHSANTE LOWASSA KWA SUMMARY ILIYOTULIA....HATUTAFUTI RAIS WA MAJUKWAA⚡
 
Hajaongea juu ya

1.Barabara
2.Umeme
3.Maji
4.Uvuvi
5.Viwanda
6.Watumishi
7.Rushwa/Ufisadi
8.n.k

Kaongelea
Babu seya, Balali,ATC, Utalii n.k alafu katumia sekunde 2 kwa kila jambo
 
Kwa ujumla katuangusha, a veritable anti-climax. Nikifikiria alisema nini hasa najikuta kukumbuka Babu Seya na Mashehe wa Zanzibar, halafu elimu elimu elimu mara tatu kama punguani vile eti aliambiwa na Tony Blair. Mwenziye Babu Duni kasema yeye kipaumbele ni Katiba ya Muungano, na pili wataunda Kamati ya Maridhianao kama ile alifanya Mandela baada ya Ubaguzi wa Rangi kuisha, sijui sisi nani alikuwa anambagua nani. Kasema spichi yako iko website wala haipo, hata Ilanin yenyewe haijawekwa hata kwenye website ya NLD wala ya CUF William Marconi
 

Vipi umeshajifungua mimba yako? Kama vipi kalambe malimao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…