Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Unaambiwa watu wako mpaka darajani!!!
Uwiiiiiii ngoja nijiandae mie.
Nitasimama juu ya ghorofa ya yanga japo niyaone mafuriko kama itatokea kukosa nafasi .
Kumbe hata kujiandaa bado hujajiandaa?
Mvua iliyo anza kunyesha asubuhi ya leo mkoa wa Dar es salaam imeharibu mkutano wa UKAWA.
Mimi sijajiandaa ndio nilikua nimetoka kula ugali wangu hapa nikadhani nitapata muda wa kupumzika!!!!
Kwa jinsi ninavyoambiwa wanaume mtapata taabu sana pa kukaa.
Sie wanawake Mbowe katufanyia favour, ngoja nijiande sasa.
Nikirudi hapa naaga tu.
Nifah updates Dada yangu yapo vipicha sisi tuliombali tuone isiwe kama ile ya mwanza kila mtu anaweka Namba siyo updates wao what's appMimi sijajiandaa ndio nilikua nimetoka kula ugali wangu hapa nikadhani nitapata muda wa kupumzika!!!!
Kwa jinsi ninavyoambiwa wanaume mtapata taabu sana pa kukaa.
Sie wanawake Mbowe katufanyia favour, ngoja nijiande sasa.
Nikirudi hapa naaga tu.
Changamoto chache zilizokuwepo ccm zilisababishwa na hili fisadi linaitwa Lowasa bora limeondoka kwasasa ccm ni njema kabisa.
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani.
Tuwe pamoja hapa (kwenye hii thread) kujuzana yatakayojiri kwenye kampeni za leo.
============
ha ha ha watu kama ww wananifanya nizidi kuipenda jamii forumTulishachapwa na ccm miaka 53 mungu anatakasa Ukawa kwa maji ya mvua ili tuanze safari ya ukombozi tukiwa wasafi.
Swissme
Nifah updates Dada yangu yapo vipicha sisi tuliombali tuone isiwe kama ile ya mwanza kila mtu anaweka Namba siyo updates wao what's app
Aliyeanzisha thread anaihujumu UKAWA.... Mpaka sasa watu ni wengi halafu haweki picha hata moja
Unaona haiwezekani maji kupanda mlima wakati maji yanapanda ghorofani?
Ficha ujinga wako wewe lowasa ameondoka madarakani miaka saba iliyopita lakini ccm bado wezi mpaka kesho