Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Sera ya Chadema ni kufungulia vibaka, magaidi na kufufua wafu....

Nimeamini Lowasa kichwa sanaa,Ndio maana kipaumbele chake cha kwanza mpk cha 3 .Elimu ,Elimu,Elimu..Inasikitisha sana kama Wabongo wengi wetu tupo hivi.
 
Leo katika hotuba ya Mh Edward Lowassa tumesikia kuwa atawaachia huru wahalifu watuhumiwa wa ugaidi na ubakaji wa kinamama na watoto.
Hii inasikitisha sana sababu watanzania wanalia wahalifu wapelekwe sehemu wanayostahili kuwepo (jela), upandemwingine Lowassa anakuja na sera ya kuwaachia huru wahalifu..Hii inaashiria nini kwenye suala zima la "Checks and Balance" kati ya Executive na Judiciary System? Vipi zile familia za watoto pamoja na victim waliobakwa na Babu Seya?
Inashangaza tena zaidi kumuona mama mpambanaji- Usu Mallya aki support UKAWA na sera zao mbovu zinazokandamiza kinamama na watoto. Heri Lowassa angesema kuwa akiwa rais ataamuru hizo case zisikilizwe upya kama anaamini haki haikutendeka.
Watu wanasema wakati wa utawala wa JK nchi ilikuwa kwenye "Auto Pilot" mode, lakini amini amini nakwambia....Lowassa akibahatika kuongoza, hii nchi itahama kutoka kwenye Auto Pilot switching to Tail-spinning/ nosecrash-landing!
Tatizo uelewa wako mdogo.....kasema ........TUTALISHUGHULIKIA......does than directly mean tutawaachia huru just like that?!?
 
Sumaye Kawapiga sana Hawa Mafisi Leo,watalala wanaota kama sio kuweweseka
 
Mbona mnahemkwa si msubiri mnataka aanze na kuwaambia pesa atatoa wapi kwani wenu anasema atatoa wapi zaidi ya kushangaa tulieni tuachieni wenyewe.
 
Ni wazi baada ya mwakyembe kutoa onyo kwa ukawa kutokugusia richmond,muungano wa vyama hvyo ulikutana mapema asubuhi na kukubaliana kutolitaja neno richmond katika mkutano wao wa jangwani,na pia mkutano huo wa asubuhi uliwataka watakao kuwa wazungumzaji wake kuwa makini kumshambulia mwakyembe.sio mbowe wala lowasa mwenyewe alie jaribu kutamka neno richmond,mtu ambae aligusia japo kwa tahadhari kubwa alikua ni sumaye na tambwe ,watu hawa wawili walijaribu kuongelea bila kutaja neno richmond.wakati tambwe hza akizungumzia kuhusu dk mwakyembe alivyo kataa uuzwaji wa benk ya nbc hata hakueleweka alikua anamaana gani ,kwa watu walio msikiliza tambwe ilikua kama anamjenga dk mwakyembe kuliko kumbomoa.kijana mmja aliekuwepo uwanjani alisema hakuwahi kujua kama dr mwakyembe alikataa uuzwaji wa benki ya nbc.....hakika huyu bwana ni mzalendo kumbe aliwahi kukataa uuzwaji wa benki ya nbc sikuwahi kujua hilo alisema kijana huyo".katika hutuba yake sumaye yeye aliishia kusema lowasa alibeba mzigo ili kumuokoa raisi lakini hakunyanyua kinywa chake kutamka neno richmond.ni wazi sasa wanajua mwakyembe anajua uchafu mwingi wa mgombea wao na ccm wenda wakaendelea kumtumia nwakyembe kwenye kampeni hzi,swali lililo baki ni kwakua mgombea wa ukawa amesha elekezwa kibla je nilini mwakyembe atamchinja rasmi.?
 
Miundombinu ndiyo mdudud gani?

Reli ya kati? Ina maana kadandia trni kwa mbele> Tazama hiki nini?

IMG_4006.JPG


Unajuwa Kikwete alikuwa anafanya nini hapo na akina nani?

Air Tanzania ni jina tu? Ayafanya nini?

Usafiri wa anga Tanzania kipindi cha Kikwete wa ndani na wa nje umekuwa mara kadhaa kuliko wakati wowote ule.

Aliyemdanganya aseme hayo itakuwa ni mpumbavu kuliko yeye.

wadanganye waliolalala
 
Wapi amesema atawafungua unafki wa kisiasa na kuendeshwa na mihemko vinawasumbua.
Alichokisema ni anafahamu kuhusu babu Seya pamoja na masheikh waliokamatwa atalishughulikia

Bila shaka wewe umegeuka Lofa..jiulize kama mtu mwenye elimu mgombea kutaja hayo maana yake nini? kwa nini hao na sio watu wengine? huyo jamaa anapandikiza chuki dhidi ya JK na CCM wakati hilo swala ni la mahakama!
 
CCM wasome alama za nyakati. Waamini sasa kwamba si lolote si chochote tena kuhusu mgombea wao. Waachie nchi kwa ustaarabu. Nilichokiona Jangwani leo ni uthibitisho

Wewe ni nani mpaka uwaamulie WatanZania wote? Mbona hata uchaguzi bado kwa nini usisubiri matokeo ya uchaguzi kwanza? kwa maana kama ni kujaza watu tu mbona hata CCM inajaza tena zaidi ya hao wa fisadi Lowasa, huko Mikoani CCM wanajaza watu kila siku sasa unavyosema CCM iondoke sijui unatumia kigezo gani ni kwamba unataka uiondoe CCM kwa nguvu bila kupitia sanduku la kura ama vipi?
 
Ni wazi baada ya mwakyembe kutoa onyo kwa ukawa kutokugusia richmond,muungano wa vyama hvyo ulikutana mapema asubuhi na kukubaliana kutolitaja neno richmond katika mkutano wao wa jangwani,na pia mkutano huo wa asubuhi uliwataka watakao kuwa wazungumzaji wake kuwa makini kumshambulia mwakyembe.sio mbowe wala lowasa mwenyewe alie jaribu kutamka neno richmond,mtu ambae aligusia japo kwa tahadhari kubwa alikua ni sumaye na tambwe ,watu hawa wawili walijaribu kuongelea bila kutaja neno richmond.wakati tambwe hza akizungumzia kuhusu dk mwakyembe alivyo kataa uuzwaji wa benk ya nbc hata hakueleweka alikua anamaana gani ,kwa watu walio msikiliza tambwe ilikua kama anamjenga dk mwakyembe kuliko kumbomoa.kijana mmja aliekuwepo uwanjani alisema hakuwahi kujua kama dr mwakyembe alikataa uuzwaji wa benki ya nbc.....hakika huyu bwana ni mzalendo kumbe aliwahi kukataa uuzwaji wa benki ya nbc sikuwahi kujua hilo alisema kijana huyo".katika hutuba yake sumaye yeye aliishia kusema lowasa alibeba mzigo ili kumuokoa raisi lakini hakunyanyua kinywa chake kutamka neno richmond.ni wazi sasa wanajua mwakyembe anajua uchafu mwingi wa mgombea wao na ccm wenda wakaendelea kumtumia nwakyembe kwenye kampeni hzi,swali lililo baki ni kwakua mgombea wa ukawa amesha elekezwa kibla je nilini mwakyembe atamchinja rasmi.?

imeingia vzur subiri nimalize
 
Ikiwa in >50 years serikali ya CCM imeweza kufanya hayo tu tunahitaji karne nyiiingi sana tuweze kuwapa watoto wetu na watoto wa watoto wetu elimu itakayo wafanya waishi kama binadamu katika nchi yenye utajiri kama hii....tutahitaji karne na karne tuweze kuwapa watu wetu huduma bora za afya!
Ni ajabu unamsikia mgombea wa CCM(samia) anawahaidi watu eti wamejua shida ya wananchi wa singida ni masoko hivy o waichague ccm itawatafutia masoko ya vitunguu na alizeti...lol!

Wewe una miaka mingapi?

Unaijuwa Tanzania ilipotoka?

Wakati Nyerere anaiacha hii nchi kaiacha masikini wa mwisho duniani/ Unaweza kulisema hilo?
 
Back
Top Bottom