mauki barakuda
Senior Member
- Apr 17, 2015
- 126
- 31
Am thoroughly sorry..
Okay mkuu haina shaka!
Am thoroughly sorry..
Wale akina mama nitilie, vijana wa bodaboda na machangudoa aliokuwa anawahadaa mbona kawatosa?
Lete sasa hiyo shingo yako tukuhalalishe shingo yako. Hukuamini hilo laweza kutokea kwa vile huko kwenu mnafanya mambo kwa mazoea
Nimeshakula castle za kutosha sasa njoo nikuchape mpini kama kawaidaWewe njoo nikakupige kadabra! Wacha kujisex-sisha hapa
Licha ya mikutano ya mgombea urais kupitia UKAWA, Edward Lowassa kufanikiwa kukusanya idadi kubwa ya watu huwa tu ni kwa lengo la kuitisha CCM kuwa eti anapendwa sana na watu kwani mara zote mikutano hiyo huishia kwa Lowassa kutumia kati ya dakika 5 na 10 kuyaorodhesha matatizo ya watu anaowahutubia bila ya kuonyesha namna ya kuyatatua. Ikulu haiendeki kihivyo
Angezidisha mud mungesema aadhibiwe........tutaruka viunzi vyote mwaka huu, na pale ni ufunguzi tu wa kampeni, bado muda upo hiyo ilani itasomwa sana na kila mtu ataielewa.
HATIMAYE HAKI ZA RAIA KUWEKWA REHANI NA Mzee Lowassa
Uraia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania una haki zake zilizoainishwa kikatiba ambapo kila raia wa kundi lolote la jamii ana haki zote zinazofungamana na uraia wake.
Kinga ya haki za kiraia na kijamii ni katiba ya nchi. Kiongozi anaweza kuwa na nafasi yake katika dhamana ya utawala lakini yeye kama yeye hawezi kuwa hakikisho la haki za raia.
Hivi sasa Nchi imeingia katika kampeni za kumchagua Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kampeni zitakazochukua takribani miezi miwili.
Katika kipindi hicho, wagombea, kupitia Vyama vyao mbalimbali, wananadi Ilani zao ambazo zitajumuisha ahadi mbalimbali pamoja na sera. Wagombea watakuwa na ahadi nyingi lakini lazima izingatiwe kuwa hawatatenda mambo kinyume na katiba.
Ni vipi sasa wafungwa waachiwe bila utaratibu kisa mzee kawa rais?
Mgombea yoyote hawezi kuaminika kwa ahadi kuwa yeye atawafanyia watu mambo ambayo yatakuwa kinyume na sheria mama. Tangu hapo, raia hawapaswi kutenganisha ahadi za mgombea na katiba ya nchi.
Haki zote za kiraia zilizoainishwa kikatiba hazipaswi kunadiwa wala kuwekewa ahadi na mgombea kwa sharti la kumpigia kura. Haki hizo za kijamii hazihitaji ahadi za mgombea bali zinahitaji kutekelezwa na yoyote yule atayeshinda kikatiba.
Kwa maneno mengine, Rais yoyote kutoka chama chochote cha siasa ana wajibu wa moja kwa moja wa kikatiba kutimiza haki za kiraia na kijamii za kila raia na kila kundi la jamii pasipo kutazama dini yake.
Waislamu, kama jamii, hawahitaji kuzifungamanisha haki zao za kikatiba au kisheria na ahadi za wagombea kisa urais.Je ni waislamu wangapi watanufaika na uvunjifu huo wa kikatiba? Kufanya hivyo kunaziweka hatarini haki zao kwani hakuna uhakika wa moja kwa moja kwamba mgombea huyo atashinda au la!
Maadam Jamii ya Waislamu na wakristo ina hakika kuwa haki zao za kiraia, kijamii, kisheria na kadhalika zote zina dhamana ya moja kwa moja ndani ya Katiba ya nchi, basi Mgombea asijaribu wala kuthubutu kuomba kura kwa ahadi ya kutimiza jambo lolote ambalo, tangu hapo, litakuwa ni sehemu ya wajibu wake wa kiutawala.
Atoe ahadi, asitoe ahadi, bado wajibu wa serikali ni kutimiza haki za kikatiba za raia. Uislamu na Ukristo utabakia palepale.
Hatari hiyo ni ile ya kujaribu kuitazama karatasi ya kura kama nusra ya jamii yao. Ukubwa wa hatari hii haupo tu katika ukweli kuwa kiongozi anayeaminiwa anaweza kwenda kinyume na ahadi hiyo, au chama chake kumkwaza, bali anaweza kushindwa uchaguzi, na kuwaacha Waislamu mikononi mwa yule ambayo hawakuwa na ahadi naye.
Mathalani, Waislamu wakisema kuwa watampigia kura mgombea wa chama fulani ili eti awatoe Waislamu waliofungwa jela kwa mashitaka mbalimbali, swali linalowarudia, ni je, akishindwa uchaguzi ndiyo ina maana Waislamu waliondani waendelee kukaa huko?
Achilia mbali hilo, ni mgombea gani ambaye anaweza kuchukua ahadi ambayo itakuja kukinzana na matakwa ya sheria? Ifahamike kuwa Uchaguzi wa Rais haufuti sheria wala hauondoshi majukumu ya Majaji na Mahakimu katika kutoa tafsiri ya sheria na hukumu.
Utakuwa utapeli wa kisiasa kwa mgombea kutoa ahadi ya jambo ambalo litakinzana na matakwa ya muhimili mwingine wa Dola. Tafsiri za sheria za Mahakama Kuu na zile za Mikoa na Wilaya zitabaki palepale licha ya mabadiliko ya Uongozi wa Kitaifa.
Jitihada za kisheria ziendelee kufanyika katika kukabiliana na tafsiri za sheria za Wanasheria wa Serikali bila kusubiri Oktoba, wanasiasa wenye hoja kutugawa wanapaswa kupewa ONYO KALI.
WAPIGA KURA WASIKUBALI KUBULUZWA,WATUMIE HAKI ZAO ZA MSINGI KUCHAGUA KIONGOZI ATAKAYE KUWA NA TIJA KWA WATANZANIA WOTE.
Naona umekuwa na kielehele cha kufungua thread zisizo na mahana watu wako na machungu wewe unaleta mambo ys mzungu wa 8Leo katika hotuba ya Mh Edward Lowassa tumesikia kuwa atawaachia huru wahalifu watuhumiwa wa ugaidi na ubakaji wa kinamama na watoto.
Hii inasikitisha sana sababu watanzania wanalia wahalifu wapelekwe sehemu wanayostahili kuwepo (jela), upandemwingine Lowassa anakuja na sera ya kuwaachia huru wahalifu..Hii inaashiria nini kwenye suala zima la "Checks and Balance" kati ya Executive na Judiciary System? Vipi zile familia za watoto pamoja na victim waliobakwa na Babu Seya?
Inashangaza tena zaidi kumuona mama mpambanaji- Usu Mallya aki support UKAWA na sera zao mbovu zinazokandamiza kinamama na watoto. Heri Lowassa angesema kuwa akiwa rais ataamuru hizo case zisikilizwe upya kama anaamini haki haikutendeka.
Watu wanasema wakati wa utawala wa JK nchi ilikuwa kwenye "Auto Pilot" mode, lakini amini amini nakwambia....Lowassa akibahatika kuongoza, hii nchi itahama kutoka kwenye Auto Pilot switching to Tail-spinning/ nosecrash-landing!
Wale akina mama nitilie, vijana wa bodaboda na machangudoa aliokuwa anawahadaa mbona kawatosa?
Nisamehe best wangu, pls!
Ila nilikuambia kuwa sitoenda na simu jangwani. ..pia baada ya kufika home nikatoka sikupata muda wa kukutumia.
Hope umefika salama.
lowasa leo umeendeleza comed zako ,watu mamia kwa maelf wamekusanyika mkukusikiliza wakisobwa kwa meri kutoka zanzibar na kila kona ya jiji na mamantilie ,bodaboda na madreva daladala na wamama, uliowaarika kwa mikutano takribani wiki nzima leo wanakuja kukusikiliza kwa hamu kubwa unawambia nini?
Muheshimiwa lowasa,
eti wakasome hotuba yako kwenye websit? Kweli?
Nafikiri wanaokushabikia bado hawajatambua wanachofata kwako siku wakijua watakukimbia,
Angezidisha mud mungesema aadhibiwe........tutaruka viunzi vyote mwaka huu, na pale ni ufunguzi tu wa kampeni, bado muda upo hiyo ilani itasomwa sana na kila mtu ataielewa.
Mahaba dhidi ya Alinselema yamekuzidia, Mpaka hujui kinachokusumbua! Subiri Oct 25, ndipo utakapojua kuwa watanzania wa sasa ni wanyambisi!Hebu tuambie, kipi cha maana Lowassa kasema leo?