Hofu yangu hv kule kijijini kwetu bulambila sijui internet imefika maana simu wanatumia ya torch,
Hii ni mbinu mkakati mkuu na nia yake ni kudhoofisha upande wa pili. Busara ya suala hili ni kuhakikisha kuwa upande unaotuhumiwa unatoa majibu ya tuhuma ili watu waamini kuwa ni porojo tu zisizo nz ukweli wowote. Ni mara ya pili namsikia Mheshimiwa akizungumzia kumrejesha Balali lakini upande wa pili uko kimya na wala haulijibu hilo!!!!!!!! kUWA KIMYA KUNAZIDI KUWAJENGEA IMANI WANANCHI KUWA KUNA LILILOJIFICHA JUU YA MAMBO HAYA kadri ya muda unavyosonga
The Listener
Ex Detective
Kwani mengine yote hujasikia? Hukusikia elimu elimu elimu? Hujasikia kilimo? Hujasikia afya?
Hujasikia miundombinu? Reli ya kati, air tanzania? Kweli mwaka huu mmekamatika vibaya
Umbea at its best.Leo ndiyo nimeamini kabisa maneno ya Mkapa, tena na mimi nnaongezea, licha kuwa ni wapumbavu wanaoshadidia lile gonjwa lichaguliwe, pia ni mazumbukuku na mapunguani wa hali ya juu.
Jana kajidai ataongea akiwa amekaa kwa kuwa yeye "mrefu" sana, mikono akashindea kunyanyua kusalimiana na wasanii, leo wamemweka aongee dakika za majeruhi ili avunge muda hautoshi.
Hivi hawa watu wa aina gani jamani?
Kwa niliyoyaona, 100% Mbowe kapiga pesa na anajuwa huyu hafai, wanachofanya pale ni maigizo ya kumridhisha tu kuwa waashalamba mshiko.
Najaribu kufikiria huyu mtu kweli angegombea kupitia CCM tungemtetea vipi?
Kwa kutumia akili angepewa mda wa kuhutubia huoni wangevunja sheria?
TAARIFA MUHIMU;
Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Ni habari niliyodokezwa hivi punde...!
Si mngeomba na pesa ya kununulia bundle kabisa?Dah watu tangu asubuhi tumejazana pale, njaa na kiu! vyote mali yetu, kwa ajili ya kumsikiliza jamaa kumbe anakujakutuambia tukatafute internet.
Licha ya mikutano ya mgombea urais kupitia UKAWA, Edward Lowassa kufanikiwa kukusanya idadi kubwa ya watu huwa tu ni kwa lengo la kuitisha CCM kuwa eti anapendwa sana na watu kwani mara zote mikutano hiyo huishia kwa Lowassa kutumia kati ya dakika 5 na 10 kuyaorodhesha matatizo ya watu anaowahutubia bila ya kuonyesha namna ya kuyatatua. Ikulu haiendeki kihivyo
Mwakyembe anamjua vizuri Lowasa. Na Lowasa anamuogopa sana Mwakyembe. Nashangaa wanaojitokeza kumtetea ilhali yeye mwenyewe amekubali matokeo
Amezungumzia vipaumbele ambavyo vipo kwenye Ilani ya chama na vipaumbele alivyozungumzia niDuh! Kweli ukawa tume bugi! Mi naonahapa hatuna kiongozi! Eti kiongozi sera yake akiingia ikulu itakua kumuachia babu seya!!!na mashehe!!, yaani hii ni extreemly cheap politics, hivi huyu kweli ndio rais mtarajiwa!!? Napata mashaka kama huyu ndie Lowasa ninae mjua wa miaka ile ya 80, uwezo wake umepungua mno!!!
Hajui kupanga hotuba na hana vision kabisaa zaidi ya kuongea vitu ambavyo rejareja na visivyo na umuhimi kwa taifa lililo na kiu ya mabadiliko.
Huyo Sumaye ni Ziro kabisa. Anasahau kuwa yeye ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali