Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Ni kweli
 

Attachments

  • IMG-20150829-WA0137.jpg
    IMG-20150829-WA0137.jpg
    86.9 KB · Views: 543
hiyo tuataichapisha na kuisambaza sie wenyewe:
a)tutajitolea muda
b)tutajitolea uwezo wetu wote
c)tutajitolea elimu ya tehama(it) ktk kuichapisha,kuifafanua na kuisambaza ilani hii kw wale ambao hawana elimu na exposure ya tehama
d)tujitolee kuichapisha ktk vibooktet vidogovidogo vya rangi

Umenena asee
 
Zoezi kubwa la Leo ni uzinduzi wa ilani, kutaja vipaumbele vichache, pia kumbuka sheria ya uchaguzi campaign mwisho saa 12:00 jioni, Magufuli alihutubia mpaka saa 12:34 jioni....hivyo hatuwezi kuchagua Raisi ambaye alishaanza kuvunja katiba hata kabla ya yeye kuingia Ikulu....Twendeni na Lowassa
 
Mtaongea sana lakini 25 october ndio mtamfahamu nguvu ya Lowassa ikoje,kote mlifanikiwa kuchomoka lakini mwaka huu hamchomoki.
 
kaongea utumbo kabisa!! hata wapambe wake wameishia kujaribu kumsafisha tu ila kiukweli hakuna walichofanya
 
Maneno mengiii ya nn tushamjua Rais wetu mtarajiwa[EL]hapa ni kubishana tuuu na m xxm
 
Mkuu alisema kutokana na muda ataweka hotuba yake kwenye blog hiyo.sio ilan ya uchaguzi pili aliposema ataiweka haikua namaana kwamba ataiweka muda ule subir

Wangapi wanatumia internet tanzania mpaka aweke kwenye brog?
 
Wewe ndio mbwiga wa mbwiguke kweikwei?! Yaani Sumaye alipomtuhumu Magufuli kuhusu shilingi bilioni 900 zinazotakiwa kulipwa kwa wakandarasi kama riba, akahoji huo sio UFISADI wewe ilikuwa umeulamba wa pono!? Zinduka



Inashangaza neno "ufisadi" halijasikika kwenye uzinduzi..maajabu haya kweli kuna mabadiliko hapa? Wapi Dr Slaa???
 
Kumbe Lowasa si fisadi!Heeeh

Lowassa SI fisadi, let us call spade a spade: Fisadi WA Richmond Ni Jakaya Mrisho Kikwete! He has not come out openly to deny these allegations. Jk has always lied and denied not to know who Richmond are (were)..
 
mimi ni ukawa damdam pia namkubali saana lowasaa na kura yangu kashaipata kitambo kwasababu lowassa ni mtendaji na mfatiliaji mkubwa wa mambo ila shida moja tuu ni kwamba kwenye speech jamaa bado hajajipanga vizuri.. ombi langu ni moja tuu kwa viongozi wa ukawa ebu tujaribu kumpanga mzee vizuri kwenye speech...bse wananchi wanaitaji kusikia sera ya chama yoote na sio summary

Watendaji wa dhati huwa hawaongei maneno mengi. Ubora wa Speech sio Ubora wa Mafanikio.
Lowassa kasema:-
1. Elimu bure mpaka Chuo kikuu.
2. Kufufua shirika la ndege.
3. Kujenga Upya reli ya kati.
4. Maslahi bora kwa wakulima na kuwekeza kwenye kilimo
5. Kuboresha Afya.
6. Haki itendeke kwa mashekhe Zanzibar.
7. Kufufua na kuendeleza viwanda.

Yeye atatenda. Sasa speech ya nini?
 
Mwakyembe anamjua vizuri Lowasa. Na Lowasa anamuogopa sana Mwakyembe. Nashangaa wanaojitokeza kumtetea ilhali yeye mwenyewe amekubali matokeo
 
wiki moja imepita nilisema chadema hawana ilani ya uchaguzi panya road wakatoa matusi lakini nikajua hawajui hata maana ya ilani ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom