DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! maajabu haya sijui yataisha lini
Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara
Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu
We fisadi lofa namba moja zee lenu jizi tu hata mfanye nini.
Mimi nilitaraji mumpongeze sana LOWASSA, Sababu ameonesha utii wa sheria ya uchaguzi kuwa mkutano mwisho ni saa 12:00 jioni
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.
![]()
Licha ya kadhi, huyo hata aseme ataifanya Tanzania kuwa nchi ya Kiislam kura hatumpi. Unafikiri tumesahau kuwa yeye ndiye alisaini MoU?
Huyo hana kura isipokuwa za wapumbavu na malofa tu, akina Ku Klux Klan Tanzania.
Kwanza zezeta hilo.
Hata kama Ni jizi, lowasa anatutoshaaaa. Nyie basi msio majizi mmetufanyia nini???We fisadi lofa namba moja zee lenu jizi tu hata mfanye nini.
KWANINI CCM hawajibu tuhuma za LOWASA na SUMAYE kuhusu KIKWETE kuwa mhusika mkuu wa RICHMOND?????
Lowassa tunafahamu sote ni mgojwa, Magufuli mgojwa mbwaa alafu anajifanya yupo fit. Atakufaa, asifikiri kampeni lelemama. Vote for Lowassa.
Wengine tunamjua Lowasa kitambo jamani mweupe kabisa anachoweza yeye ni ufisadi tu mengine mtamuuwa tu labda na uzushi siasa zake siku zote anafanyiwa na watu kwa kuwahonga pesa.