SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Nilichosikia kinasemwa mkutanoni Jangwani ni kwamba rekodi ya mkutano wa Jangwani itarushwa saa 3 usiku ITV.
lowasa anahutubia taifa baada ya habari
Nilichosikia kinasemwa mkutanoni Jangwani ni kwamba rekodi ya mkutano wa Jangwani itarushwa saa 3 usiku ITV.
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.
![]()
Mgombea anaongea dk zisizozidi tano anaahidi kumtoa babu seya... Hivi babu Seya ni kipaumbele nchi hii?nchi hii Ina tatizo la ufisadi hasemi namna gani atadeal na ufisadi na anatwambia habari za babu Seya, who the hell is Babu seya???
Namkumbuka Dr Slaa Kwa kweli
Ila huyu Tambwe Hizza lazima awe kwenye probation period, huwa simuamini kabisa huyu!
Nendeni mkamjibu SUmaye maswali yake,ya Twiga kupanda ndege,Madawa ya kulevya,Escrow account,duh sijasahau zile pesa za EPA na kusamehewa kwa watuhumiwa.
Ohh nimesahahu yale MABEHEWA ya kichina na MELI ya mwaka 1978....
Kwani alichokiongea pale hamkumckia au mnajitoa ufahamu???
TAARIFA MUHIMU;
Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Ni habari niliyodokezwa hivi punde...!
Kwani alichokiongea pale hamkumckia au mnajitoa ufahamu???
KWANINI CCM hawajibu tuhuma za LOWASA na SUMAYE kuhusu KIKWETE kuwa mhusika mkuu wa RICHMOND?????
Ndugu Lowasa anatambua tatizo kubwa linalowalabili watanzania.katika hotuba yake ya mbeya,arusha na leo katika uzinduzi wa kampeni ni babu sea jamani hii ni shida kubwa sana
Vichwa vya treni na mabehewa we Machembe !!
watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! Maajabu haya sijui yataisha lini
Mkuu alisema kutokana na muda ataweka hotuba yake kwenye blog hiyo.sio ilan ya uchaguzi pili aliposema ataiweka haikua namaana kwamba ataiweka muda ule subir