Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Leo mmenyokaa....zile stori za picha za ku edit zimeishia wapii...??....
 
Hatuhitaji maneno na danganya toto nyingii, tunataka utendaji na vision
 
Naomba mwenye ule wimbo wa bendi uliotumbuiza leo ukawa kuhusu lowassa auweke tafadhali hapa maana ni wimbo mzuri wenye kuelimisha na kuhamasisha
 
Mkuu unaweza kunifahamisha hiyo ni ilani ya Chadema au mawazo binafsi ya Lowassa isije kuwa drama kama ile ya mvua za Thailand.

Kwani umesha soma ilani ya cdm kabla huja uliza?
 
Wengine tunamjua Lowasa kitambo jamani mweupe kabisa anachoweza yeye ni ufisadi tu mengine mtamuuwa tu labda na uzushi siasa zake siku zote anafanyiwa na watu kwa kuwahonga pesa.
 
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
ALISHINDWA NINI KUSEMA KILA KITUNjANGWANI?

Ukawa sasa kwisha habari yake.

[h=3]TEAM MAGUFULI[/h]

11921805_875185162571027_7837830549457049343_n.jpg
 
Muungwana kwake ni vitendo tuu porojo za pombe aka ulanzi ni hukoo bar....
 
jamani mbona picha za mikutano ya magufuli ni picha za mikutano ya kampeni za jakaya 2010, waandishi wanaziunga unga tu ata sielewi nini tatizo
 
Leo jangwani panamaliza ubishi wote, Jakaya alisema photo shop sasa leo atapelekewa ujumbe rasmi ajiandae kukadhi nchi au aende ICC maana hamna namna CCM watachomoka.

Hii ni 2015 sio 1995 Kaeni tayari.

Hivi nani anayejua akiwazacho mtu nafsini mwake? alafu katika watu ambao hawaaminiki ni wa Dar es salaam,usiwachukulie poa kwa kweli.alafu uchaguzi ni mahesabu.Dar kuna uwezekano mkubwa wa kugawana kura, ACT,CCM na UKAWA, mambo yapo huku vijijini ambako watu hawamjui juma Duni Haji wala, wala Sumaye. ni Magufuli na wanachokiona barabara za lami .
 
KWANINI CCM hawajibu tuhuma za LOWASA na SUMAYE kuhusu KIKWETE kuwa mhusika mkuu wa RICHMOND?????
 
Wanyama unyamani,


Viva UKAWA. Viva UKAWA

Hamba pembhili

UKAWA phazi..UKAWA phezulu
 
Back
Top Bottom