Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

maneno mengi hayana kichwa wala miguu. Watu wanataka mabadiliko, ww mpe kura makufuli. El tuachie wenyewe.
 
Sumaye kumbe mtupu kiasi hiki yupo kundi moja na kina Tambwe Hizza, kulikuwa hamna haja ya kuongelea ugonjwa wa Lowassa, umewapa pakusemea kina Lusinde, nampa pole sana Lowassa, Sumaye kamtafutia matatizo...daah
Magufuli mzima?
 
mimi ni ukawa damdam pia namkubali saana lowasaa na kura yangu kashaipata kitambo kwasababu lowassa ni mtendaji na mfatiliaji mkubwa wa mambo ila shida moja tuu ni kwamba kwenye speech jamaa bado hajajipanga vizuri.. ombi langu ni moja tuu kwa viongozi wa ukawa ebu tujaribu kumpanga mzee vizuri kwenye speech...bse wananchi wanaitaji kusikia sera ya chama yoote na sio summary

Duh! Kweli ukawa tume bugi! Mi naonahapa hatuna kiongozi! Eti kiongozi sera yake akiingia ikulu itakua kumuachia babu seya!!!na mashehe!!, yaani hii ni extreemly cheap politics, hivi huyu kweli ndio rais mtarajiwa!!? Napata mashaka kama huyu ndie Lowasa ninae mjua wa miaka ile ya 80, uwezo wake umepungua mno!!!
 
Unahitaji kusikia sera au propaganda? Unahitaji kusikia uzishi na uongo au ukweli

huku marekani huwezi kusikia mgombea akitoa vipaumbele zaidi ya 3 watanzania tumezoea kusikia propaganda lowassa hajui propaganda na commedi za ccm tumechoka na ahadi hewa just we need to hear few things which will be done.
 
Waongeaji wote waongeaji walikuwa wanasikika. Ilipofika zamu ya mgombea sauti ikapotea....huyu mtu ana tatizo

Kama la magufuli sauti yake imeshapotea.. nasikia moyo nao unamwenda mbio kweli kweli..sijui betri zinakaribia kuisha...
 
mimi ni ukawa damdam pia namkubali saana lowasaa na kura yangu kashaipata kitambo kwasababu lowassa ni mtendaji na mfatiliaji mkubwa wa mambo ila shida moja tuu ni kwamba kwenye speech jamaa bado hajajipanga vizuri.. ombi langu ni moja tuu kwa viongozi wa ukawa ebu tujaribu kumpanga mzee vizuri kwenye speech...bse wananchi wanaitaji kusikia sera ya chama yoote na sio summary

Hotuba nzuri ndizo zimetufikisha hapa tulipo! Hebu tumpatie huyu Kionvozi wa vitendo na tusahau wataalamu wa speech wasio na tija!
 
KWANINI CCM hawajibu tuhuma za LOWASA na SUMAYE kuhusu KIKWETE kuwa mhusika mkuu wa RICHMOND?????

Mi hata sijui.......hivi ni lini wanamshtaki......?......nilisikia kuna kesi inakuja........nataka nikasikilize labda nitapata kitu.........
 
Acha Waseme Yote, Matusi, Kebehi, Dharau, Nk Sisi Tubakie Njia Kuu Ya Mabadiriko.. Tar 25th October Ukawa Ishike Dola..
 
Ccm hawawezi kujibu hilo swali kwasababu huo ni ukweli,na ukweli unawauma.
 
Tunajua unatafuta nafasi ya upendeleo, but iwe isiwe ccm mtaisoma mwaka huu..!!
 
Siyo tu Watanzania kushangaa mgonjwa kupeperusha bendera ya chama chao; ila ajabu zaidi imejitokeza baada ya mgombea huyo kuwaambia wananchi wakasome ilani yake kwenye tovuti ya chama hicho. Baada ya muda mfupi yalijitokeza maajabu mengine pale alipowataka watu wa dar wakamuombee kura kwa watu wa bara

Hii ni ajabu ya mbalamwezi kuanikia muhogo, watu walipolalamika kuwa mgombea hafai na ni mgonjwa mlijitokeza kumtetea kwa nguvu zote. je, mnayaona haya? sasa wapiga kura tumeshaamua hatutomchagua kamwe
#hapakazitu

viroba vinakusumbua? Sema wewe hutompigia ila wengine watampa tuu
 
Back
Top Bottom