Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

Kiongozi, kumbe wewe ni full kijani & gold! .. Jangwani hadi Lumumba

Mkuu mimi sina chama; ninachukia ufisadi, CHADEMA asili walikuwa wananifurahisha sana. Bahati mbaya njozi ya kupambana na ufisadi imekufa! Kwa kuwa CHADEMA-EL haina mpango wa kupambana na ufisadi, sina shirika nao tena!
 
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.

nami nimeiona face book team lowasa A/C

Niko ITV nitawajuza kama ni kweli.
 
Acha uongo wewe. Pale Jangwani John Mrema alisema kuwa mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni utarudiwa kwenye kituo cha ITV kuanzia saa tatu usiku. Wewe unakuja na ngonjera zako

mkuu akina mrema si wachaga hao, si wa kaskazini..duuh hadi vyeo kwa ukanda
 
Tunavyoaambia lile zee limejiishia mnatuona tunafanya utani?

Unafikiri ataweza kuongea kwengine? Mawee! Si redio, si jukwaani, si bungeni.

Hivi mlikuwa hamumuoni hizi siku za mwisho bingeni? Anazubaa, kucheka hacheki, kununa hanuni, hageuki wala huku. Zumbukuku.

Vipi muheshimiwa sauti yake imerudi?
 
Baada ya uzinduzi nimelazimika kufuata maelekezo ya mgombea kwamba ilani ipo kwenye website ya chadema ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema kusema ukweli haipo. kuna tab ya nyaraka+ ukiingia kuna link ya ilani ya uchaguzi but ukiingia inakupeleka kwenye fomu ya kugombea ....

Pia nimewasili kwenye blog ya chadema Chadema Blog pia mbali ya picha hakuna ilani.....

hakuna ilani wala hotuba!!!

wakuu mwenyenayo please naitafuta...

Duh,kutoka tu UWANJANI mbio kwenye blog dah,kweli Moyo upo CHADEMA mwilli upo CCM.Karibu upumzike kwanza,usiingie kwenye nyumba za watu tu.Kamaunataka iLANI njoo uchukue.Tatizo lenu COPY and paste.

Safari hii mmepatikana.
 
Baada ya uzinduzi nimelazimika kufuata maelekezo ya mgombea kwamba ilani ipo kwenye website ya chadema ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo – Chadema kusema ukweli haipo. kuna tab ya nyaraka+ ukiingia kuna link ya ilani ya uchaguzi but ukiingia inakupeleka kwenye fomu ya kugombea ....

Pia nimewasili kwenye blog ya chadema Chadema Blog pia mbali ya picha hakuna ilani.....

hakuna ilani wala hotuba!!!

wakuu mwenyenayo please naitafuta...

CHADEMA ni wasanii. Hawana ilani wala mjomba wake Ilani. Umemsikia Mbowe alisema wana Ilani moja vyama vinne wewe inakuingia akilini? Kama ni Ilami moja kwa nini wasiungane kiwe chama kimoja. Hiyo Ilani itasemaje huku CUF wanataka kuvunja Muungano? Na NCCR Mageuzi hawana sera ya Majimbo huku Chadema tayari wana uongozi kimajimbo? CUF wana sera ya utajirisho waliachiwa na Mapalala huku Chadema ni man-eat-man ya manyang'au wa Kenya.

Na hata "speach" ya Lowassa sijui iko wapi kwenye website hakuna. I cannot imagine itakuwa ni speech ya nna gani jinsi alivyokuwa anajikanyanga ("reli ya kati keenda Congo na Zaire, kupitia Kigoma hadi Mwanza").

Yale makundi ya kulipwa yalikuwa swaafi kwa wakati wa kujitambulisga lakini sasa dynamics zimegeuka inahitaji sera zaidi.

Mimi najiuliza iweje mtu mzima utekwe na blabla hizi, kasoro watu wa Kaskazini. Naona hakugusia ukabila ingawa anajua ni mzigo mkubwa kajitishwa. RM
 
Kama Mwakyembe ni mwanaume kweli atuambie yale aliyoyaacha kwenye ripoti ile ili serikali yote isianguke aache kubwabwaja kwenye majukwaa. Ikulu nayo ijibu hoja za Lowasa kama kweli Kikwete hausiki.

Tambwe Hizza na Mh.Sumaye wamemaliza kila kitu.
 
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.

Eti nini
 
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.

1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.


11951204_1068783333154019_992321555451370143_n.jpg



Wanatakiwa wajibu hawa ukawa! Ukiwauliza kwa nn lowassa na si magufuli hawana hata majibu
 
lowasa leo umeendeleza comed zako ,watu mamia kwa maelf wamekusanyika mkukusikiliza wakisobwa kwa meri kutoka zanzibar na kila kona ya jiji na mamantilie ,bodaboda na madreva daladala na wamama, uliowaarika kwa mikutano takribani wiki nzima leo wanakuja kukusikiliza kwa hamu kubwa unawambia nini?

Muheshimiwa lowasa,

eti wakasome hotuba yako kwenye websit? Kweli?
Nafikiri wanaokushabikia bado hawajatambua wanachofata kwako siku wakijua watakukimbia,
 
Back
Top Bottom