Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
Uko wapi nimeshaandaa kisu kikali
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
Kwaio anaongea tena ktk ITV au unamaanisha ni recorded!??
itv wanahujumu,mbona hakuna sauti
Acha uongo wewe. Pale Jangwani John Mrema alisema kuwa mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni utarudiwa kwenye kituo cha ITV kuanzia saa tatu usiku. Wewe unakuja na ngonjera zako
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
Umechelewa.....msikize Lowassa yupo ITV zaidi ya dkk 20 sasa anazungumzia sera na vipaumbele vya CHADEMA/UKAWA kama vilivyo katika ilani yaoBaada ya uzinduzi nimelazimika kufuata maelekezo ya mgombea kwamba ilani ipo kwenye website ya chadema ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema kusema ukweli haipo. kuna tab ya nyaraka+ ukiingia kuna link ya ilani ya uchaguzi but ukiingia inakupeleka kwenye fomu ya kugombea ....
Pia nimewasili kwenye blog ya chadema Chadema Blog pia mbali ya picha hakuna ilani.....
hakuna ilani wala hotuba!!!
wakuu mwenyenayo please naitafuta...
TV yako kimeo
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
Lowasa jina kubwa hakuna la maana analoongea alafu akikosa urais watalalamika kuwa wameibiwa kura.....